Uchambuzi kuhusu Azizi Ki na dimba la Kati kwa ujumla

Uchambuzi kuhusu Azizi Ki na dimba la Kati kwa ujumla

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nimeona post za wachambuzi ushabiki wanaochambua mpira kwa hasira baada ya kuona Yanga imepoteza mbele ya mwarabu (USM ALGER) kwa magoli ya mbili kwa moja.

Kila mchambuzi anatupa mzigo wa lawama kwa Azizi kii lakini hatujiulizi Azizi kii anapata mipira kutoka wapi??

Azizi kii alishindwa kuwalisha Kennedy musonda na Mayele kwa sababu alikuwa hapati mipira kwa wakati na ndiyo maana hatukuona pass mpenyezo kutoka kwa Azizi kii kwenda kwa musonda na Mayele.

Tatizo lilikua kwa namba nane (8) iliyochezwa na Mudathir Yahya wakati namba sita (6) uliochezwa na Yaniki bangala.

Asilimia kubwa ya mipira ikifika mbele kutoka kwa Bangala kuliko Mudathir Yahya Hana ubunifu wakuwahisha pass kwa wakati Kama ilivyo kwa Khalid Aucho au Salumu Abubakari "Sure boy".

Mudathir Yahya ni kiungo namba sita (6) kiuhalisia toka alivyokuwa Azam, ni mzito mno anapocheza namba nane (8).

Mudathir Yahya na Sure boy Bora Sure boy kucheza namba nane, Sasa hapo hakuna Sababu ya kuanza kumlaumu azizi kii wakati kiungo Cha Kati haswa namba nane kilikatikatika hakipekeki mipira kwa wakati.

Yanga Ina kikosi kipana lakini gape la Khalid Aucho lilionekana key passes kutoka kwa Aucho ni muhimu sana.
 
Mimi nimesema, tatizo ni MUDATHIR wala sio AZIZ KI, binafsi Muda sipendi acheze namba 8 kwa kuwa yuko very slow kwenye transition ya move.

Watu wanapeleka lawama kwa Aziz lkn mipira 90% aliyopokea alipokea mazingira ambayo tayari yuko na watu 2 au 3.
 
Lionel mess mwenyewe anapokwa mipira Sembuse azizi kii
Kwa namna hiyo ya vision basi hakuna mchezaji mzembe au mbovu kwasababu tutaangalia kosa lake kwa wachezaji wakubwa na pindi tukiona kosa hilo liliwahi kufanywa na mchezaji mkubwa basi moja kwa moja huyo mchezaji hawezi kuonekana mbovu
 
Yeah
Hata kukaba ni mzito
Watu wanaongea kimahaba ila jamaa alipotea sana
Bora hata huyo Mudathir tumeona set up ya goli la mayele Toka kwake
Setup ya Mudathiri ilitoka kwa Morrison pia

Morrison angeingia mapema nadhani angekuwa na impact kuliko Azizi Ki japo naye Morrison kuna muda anazinguaga ila kwa jana alionesha umakini
 
Kwa namna hiyo ya vision basi hakuna mchezaji mzembe au mbovu kwasababu tutaangalia kosa lake kwa wachezaji wakubwa na pindi tukiona kosa hilo liliwahi kufanywa na mchezaji mkubwa basi moja kwa moja huyo mchezaji hawezi kuonekana mbovu
Shida ya JANA haikuwa mbele, ilikuwa namba 8 tu, namba 8 hakuwa anasambaza mipira kwa watu wa mbele, na anaposambaza anasambaza akiwa amechelewa.

Huwa tunaona sana matokeo badala ya source ya matokeo hayo.

The really problem was MUDATHIR, ndio maana alipoingia SURE BOY viungo wa Pembeni walipata mipira kidogo kutoka kati.

Kama muda alicheza vizuri no 8 na shida kama ilikuwa no 10 kwann asingitolewa AZIZ na kuingia MORRISON ili kumsogeza MUSONDA hapo 10?

Shida halisi ni namba 8, ila kwakuwa tumechagua nani atupiwe lawama basi, inaonekana ni AZIZ KI.

Aziz amepokea mipira sehemu ambayo sio sahihi, kila akifungua, Mudathir bado aliendelea kukokota gozi, pale anapoamua kuachia mpira, unakuta tayari Mabeki na Viungo wa USMA wameshacover gap.

Tujadili mpira kwenye angle ya ufundi zaidi.
 
Yeah
Hata kukaba ni mzito
Watu wanaongea kimahaba ila jamaa alipotea sana
Bora hata huyo Mudathir tumeona set up ya goli la mayele Toka kwake
Hiyo setup ni baada ya watu wenye akili kumpasia kwa wakati. Yeye asingeweza kupasia kwa wakati.

Sisi tunaangalia wakati anacheza no. 8 alifanya nini kusambaza mipira kwa washambuliaji? Eleza hapa alipasia pasi gani muhimu kwa washambuliaji wakati yupo no. 8?
 
Mimi nimesema, tatizo ni MUDATHIR wala sio AZIZ KI, binafsi Muda sipendi acheze namba 8 kwa kuwa yuko very slow kwenye transition ya move.

Watu wanapeleka lawama kwa Aziz lkn mipira 90% aliyopokea alipokea mazingira ambayo tayari yuko na watu 2 au 3.
Acha kumpa lawama Mudathir, aziz kii aache kucheza na jukwaaa, masifa yake ndo yanaigharimu team.

Uliona alilambishwaa nyasiiiii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kumpa lawama Mudathir, aziz kii aache kucheza na jukwaaa, masifa yake ndo yanaigharimu team.

Uliona alilambishwaa nyasiiiii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
To me, kama kuna namba nyingine kwa Muda, basi bora acheze no 6. Hakuna game Mudathir alicheza namba 8, Yanga ikapata matokeo mazuri.
 
Shida ya JANA haikuwa mbele, ilikuwa namba 8 tu, namba 8 hakuwa anasambaza mipira kwa watu wa mbele, na anaposambaza anasambaza akiwa amechelewa.

Huwa tunaona sana matokeo badala ya source ya matokeo hayo.

The really problem was MUDATHIR, ndio maana alipoingia SURE BOY viungo wa Pembeni walipata mipira kidogo kutoka kati.

Kama muda alicheza vizuri no 8 na shida kama ilikuwa no 10 kwann asingitolewa AZIZ na kuingia MORRISON ili kumsogeza MUSONDA hapo 10?

Shida halisi ni namba 8, ila kwakuwa tumechagua nani atupiwe lawama basi, inaonekana ni AZIZ KI.

Aziz amepokea mipira sehemu ambayo sio sahihi, kila akifungua, Mudathir bado aliendelea kukokota gozi, pale anapoamua kuachia mpira, unakuta tayari Mabeki na Viungo wa USMA wameshacover gap.

Tujadili mpira kwenye angle ya ufundi zaidi.
Azizi Ki jana mpira ulimkataa hilo haliwezi kukwepeka kujadiliwa, hata Nabi amesema hakuwa na option kwasababu hakuna namba 10 mwingine

Halafu

Mnashindwa kukubali kuwa wapinzani waliwasoma nguvu yenu ipo wapi na jinsi gani waidhibiti.

Wapinzani waliona kwenye timu yenu mchezaji anayeweza kuwa na madhara ni Mayele.

Angalia namna waliyochagua kumdhibiti hapo ndio unapokuja utofauti wa kimbinu kati ya timu bora na timu regular

Wao hawakuchagua kumkaba Mayele directly badala yake wakaangalia ni nani na nani ambao wanamlisha mipira Mayele kisha wakaweka nguvu kwa hao watu kuhakikisha mipira haimfikii.

Ndio manaa hata ukiangalia bao lake alilofunga likikuwa ni bao katika mazingira magumu sana ambapo hakuhitaji kuliangalia goli kumpa green light kipa apate nafasi ya kujipanga
 
Huchoki brooo...pole sana mpira una matokeo ya kikatili sanaaa
 
Wachambuzi wa JF kumbe sifuri tu, mtu unaanzaje kudowngrade performance ya Mudathir kwenye ile mechi, he was one of the outstanding players kwa upande wa Yanga, mchezaji ambaye at least ana offer security in the midfield( clean ball retention), many players were shit, Aziz ana potential kubwa and he needs to arrive there but he doesnt show that hunger, kitu nimegundua kwenye Mpira wetu wachezaji wetu wanataka vitu vitokee, they don't want to force the issue, Aziz always want the ball to feet, kama pasi haina weight basi Mpira umepotea, aina ile ya uchezaji inapelekea anakosa agility & concentration. Aziz anahitaji Ku redifine his game.
 
Jukumu lake halikuwa SECURITY, yy alipaswa kuattack, security alikuwa BANGALA.

Unaona jinsi gani uelewa wako ulivyo mdogo?
 
Back
Top Bottom