kitalolo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2006
- 1,827
- 708
wacha Wakenya wawakomeshe wanafiki na ICC yao. Wacha Kenyatta na arap Ruto washinde ndio tuone test of the ICC laws itakiwaje a sitting president na vice president kama Fatou Mbesuda atawasimamisha kizimbani. Natamani Kenyatta ashinde nione nguvu za ICC.
nimeongea hivyo mara nyingi sana unajua lazima tuwe watu wakujaribu mabadiliko na kuono je kama ikiwa hiv nini kitatokea kwasababu webgi tunajua na nikuwa kenya mara ya mwisho mwaka mpya nikaongea na wakenya na kweli wanaona kama hii kesi inaendeshwa kwa maslai ya watu fulani tena walio nje ya kenya zaidi kuliko wakenye wadogo walio pale nchini sasa wakenya wengine ni kama wanapiga kura ya hasira maana wanayajua yote yaliotokea kwenye vurugu za uchaguzi ulipita kuliko walio nje ya kenya. na baada ya hapo tunaweza kuzungumzia ukabili nao una nafasi kwenye uchaguzi wa kenya na hii nayo ni advantage kwa Kenyata.
so mwache achukue tuone icc watanfanyaje, mi naona kama inaweza kubaki kesi yenye danadana kwa kipindi chotecha utawala wao, pia swala lingine ninaloliona ni pale wengi wanapotishi kuwa mataifa ya ulaya na marekani watawawekea vikwazo vya kiuchumi kama watamchagua kenyanta na hii nayo nataka kuona impact yake, ingawa sifikiri kama hili linaweza kutokea kwani hata taifa la marekani lilikwishasema kuwa uamuzi wa mwisho uko kwa wakenya wenyewe na hii ilikuwa inatumiwa zaidi na Railonzo katika kujipigia chapuo kumbe kwa upande mwingine kuna wakenya wenye akili kama zangu mimi na wewe wanataka kuona je ikiwa uhuru utaichukua nchi yao je watakiuwa huru kweli kutoka kwenye mikono ya watumwa wa marekani na uingereza? ngoja mpaka leo jioni tutajua