Uchambuzi: Kuna Dalili Wakenya Wanakwenda Kumchagua 'Jogoo Mwembamba' (Uhuru Kenyatta)...!

Uchambuzi: Kuna Dalili Wakenya Wanakwenda Kumchagua 'Jogoo Mwembamba' (Uhuru Kenyatta)...!

Ndugu zangu,
Afrika ukikuta jogoo wawili wanagombana, basi, hapo hapakosi mashabiki. Na kila shabiki aliyesimama kutazama mpambano wa majogoo hao, ujue, kuwa ana jogoo wake anayemshabikia.

Na jogoo anayemshabikia akishindwa pambano, shabiki ataondoka akisononeka. Kuna ambao watakosa hata hamu ya chakula siku hiyo. Kisa? Jogoo wake kagalagazwa!

Na kama jogoo mmoja ni mnene na mwingine ni mwembamba, ujue, kuwa jogoo mwembamba ana mashabiki wengi.

Ukifuatilia mwenendo wa Uchaguzi wa Kenya kuna dalili kuwa Uhuru Kenyatta ambaye pia anatuhumiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai anaelekea kwenye kupata ushindi.
Moja ya tafsiri ya jambo hili ni ilivyo kwenye fikra za wapiga kura ambao ni wengi ni watu wa kawaida- kuwa Uhuru anaonewa, hata na mataifa ya nje. Kwamba mambo ya Kenya yao yanaingiliwa pia na wasio Wakenya, tena Wazungu.

Wakenya wana historia ya mapambano magumu ya kudai uhuru kutoka kwa ' Wazungu'- ni tangu enzi za Mau Mau.

Pamoja na utajiri wake, bado Wakenya wengi wa kawaida wanamwona Uhuru kama mtu wanayefanana naye. Ni mwanadamu kama wengine. Hujo nyuma Uhuru amekuwa na historia ya matatizo binafsi pia ya kimaisha, ikiwamo matatizo ya pombe, hivyo ya kifamilia pia. Wakenya wengi wanaishi wakijisikia kuwa wananyanyaswa na kuonewa. Wanamwona Uhuru Kenyatta kuwa ni mtu anayeonewa pia.

Hivyo, yawezekana kuna kura za ' kuonewa huruma' ambazo Uhuru Kenyatta anaweza kuzipata, hata kutoka kwa watu wa kabila la Wajaluo. Wanaojiona ' wanafanana naye'.

Na lingine ambalo laweza kutokea ni ukweli, kuwa katika matatizo mengi wanayoyakabili Wakenya kwa sasa, kuna ambao wanaikumbuka ' Bora ya jana' ya Mzee Jommo Kenyatta. Wanaikumbuka historia. hivyo, kuna Wakenya waliopiga kura za ' nostalgie'- Kura za ' Zilipendwa'.

Kuna Wakenya wengi walimpenda Mzee Jommo Kenyatta. Bado wanakumbukumbu za ' Fuata Nyayo'. Na Uhuru naye anaitwa ' Kenyatta'- Jina lake la pili. Ni mwana wa Mzee wa ' Fuata Nyayo.

Naam, Nyayo zilishapotea. Kuna wenye hamu ya kuzitafuta. Wanaamini Uhuru atawasaidia kuziona. Na tusubiri tuone.

Maggid Mjengwa,
Msamvu, Morogoro
Mkuu wataingia roundi ya pili, hapo ndipo uhuru atabwaga na raila.
 
wacha Wakenya wawakomeshe wanafiki na ICC yao. Wacha Kenyatta na arap Ruto washinde ndio tuone test of the ICC laws itakiwaje a sitting president na vice president kama Fatou Mbesuda atawasimamisha kizimbani. Natamani Kenyatta ashinde nione nguvu za ICC.
Acha fikra za kufanya maisha ya watu majaribio....yaani wewe unataka Uhuru Kenyatta ashinde ili uone itakuwaje ICC??? Vipi maisha ya wakenya kwa miaka mingine mitano??
 
Mkuu wataingia roundi ya pili, hapo ndipo uhuru atabwaga na raila.

Ni kigezo kipi cha kuwaingiza katika roundi ya pili?? nafikiri pia wajaluo wengi wamekimbia nchi yao na hii ni sababu tosha ya RAila kuwa nyuma namna hii!!
 
Mkuu mbona Uhuru Kenyatta alisha wahi kuwania Uraisi zaidi ya mara mbili na akashindwa, kama alikuwa anapendwa kupindukia nchini Kenya angeshinda kwenye attempt ya kwanza; mimi nafikili upigaji wa kura wakat mwingine huko highly unpredictable uwezi kujua mpiga kura amehamkaje siku ya upigaji KURA!

Mpaka sasa hivi ni karibu robo tu ya idadi za kura zimehesabiwa, kwa hiyo ni premature kumuhesabu Kenyatta kama mshidi wa kinyangilo hicho - Kumbuka OBAMA kura za mwanzo alionekana vipi? Watu wengi walifikili atashindwa.

...Uhuru Kenyatta amegombea kabla Urais mara moja tu, mwaka 2002, akiwa kijana mchanga miaka 4 tu baada ya kuingia Bungeni, hii sasa ni mara yake ya pili wakati Raila Odinga anagombea kwa mara ya tatu sasa, bahati mbaya sana fate yake inalingana na ya Baba yake...
 
...Tujikumbushe...



kweli bora tu wakenya washikamane, at the end of day hao watoto wawili wa vigogo wa zamani hata hawawajui, na mateso yao hawayajawahi kuya experience..... labda kwenye ndoto...
 
Last edited by a moderator:
Tangia jana kuanza kutolewa matokeo ya huko Kenya inaonyesha Uhuru anaongoza kwa mfululizo hakuna muda ukionyesha Raila akiongoza pamoja na kuwa bado sehemu kubwa ya matokeo kutajwa,hii ni dalili tosha ya Uhuru kuongoza mpaka mwisho wa matokeo !!
 
...Uhuru Kenyatta amegombea kabla Urais mara moja tu, mwaka 2002, akiwa kijana mchanga miaka 4 tu baada ya kuingia Bungeni, hii sasa ni mara yake ya pili wakati Raila Odinga anagombea kwa mara ya tatu sasa, bahati mbaya sana fate yake inalingana na ya Baba yake...

Mkuu mimi nilimsikia Uhuru juzi akisema aliwahi kujaribu mara mbili kuwania URAISI, was it a slip up - I don't think so! Alafu haya mambo ya watu kuamini sana mitambo ya IT hasa hasa inapohusu upigaji kura na mambo ya mabenki - one gotta be dead careful na data entry clerks na kits wanazo tumia - watu wasio waminifu na wenye weledi mkubwa katika nyanja hizi wanaweza kufanya lolote bila ya kugundurika kirahisi - ukisikia sijui system hiko down, sijui matokeo hayaji/kuchelewa,sijui wasimamizi wa sytem hizo hawapo kutoa maelezo ni kitu gani kinajiri, sijui wataalamu wanaishughulikia baadae itakuwa up and running - unaweza kuwa na uhakika gani na timeline iliyotumika eti kurekebisha system wanafanya nini in between! Ni rahisi sana kuchezea mitambo ya eletronic kuliko watu wanavyo fikilia!! Hii iliwahi kufanyika Merikani wakati wa kura za akina Bush na Gore katika majibo fulani - watch out.
 
cord wanaanza kupiga mayowe. Nasikia prof. Anyang nyong anapiga yowe
profesa arudi chuoni bado tunahitaji sana vitabu vyake vya sheria.ukishafikia level ya uprofessa unatakiwa kukosoa na kutoa dira tuu ila ukiambiwa wewe uongoze haiwezekaniki ona sasa anagaragazwa na vijana
 
Kenya ni kabila kwanza kisha utaifa baadaye! believe me hiyo ndio sera yao wasotaka kuiweka wazi!
 
Sijui kama mawazo yangu ni sihii.ila naona wakenya pamoja na ukabila wao lakini kumpoteza mtu kama odinga ni makosa makubwa sana espacially kwa matatizo waliyonayo hawakupaswa kuchagua mtu ambaye yeye mwenyewe anaweza kukuza tatizo la ukabila.matatizo mengine kama ya mombasa n.k,walihitaji kupata kiongozi kama odinga with strong standing.uhuru sidhani kama anaweza kuyasimamia haya na kuyaondoa hata kwa kiasi kidogo.
 
Natamani kuiona Kenya Ya Raila, Huyu Uhuru sioni kama ana maono yoyote na Kenya.
 
Wale ambao walikuwa na ufahamu wa kutosha enzi za Kenyatta, ningeomba wanipe ABC za Jomo Kenyatta(babae Uhuru) VS Jaramong Oginga Odinga(Babae Raila)

Hawa hapa.......

photo_1362220965352-1-0.jpg



Na watoto wao kwa mkao huohuo


Raila-n-Uhuru.jpg


Oginga Odinga was born in Bondo, Nyanza Province. In his autobiography, Not Yet Uhuru, Odinga estimates the date of his birth to be October, 1911. Christened Obadiah Adonijah, he later renounced his Christian names and became known as Oginga Odinga. He was a student of Maseno School and Alliance High School. He went to Makerere University in 1940, and returned to Maseno High School as a teacher. In 1948 he joined the political party Kenya African Union (KAU).


Spurred to empower his Kenyan Luo ethnic group, Odinga started the Luo Thrift and Trading Corporation (registered in 1947). With time, Odinga and his group undertook to strengthen the union between Luo people in the whole of East Africa. His efforts earned him admiration and recognition among the Luo, who revered him as Ker – a title previously held by the fabled classical Luo king, Ramogi Ajwang, who reigned 400 years before him. Vowing to uphold the ideals of Ramogi Ajwang, Odinga became known as Jaramogi (man of the people of Ramogi).

Vice presidency



According to Luo tradition, a Ker can not be a politician, so Odinga relinquished his position as king in 1957 and became the political spokesman of the Luo. The same year, he was elected member of the Legislative Council for the Central Nyanza constituency, and in 1948 he joined the Kenya African Union (KAU). In 1960, together with Tom Mboya he joined Kenya African National Union (KANU). When Kenya became a Republic in 1964, he was its first Vice-President.
As Vice-President he did not agree with Jomo Kenyatta's government, and he resigned his post and quit KANU in 1966 to form the Kenya People's Union (KPU).

In opposition



The friction between Odinga and Kenyatta continued, and in 1969 Odinga was arrested after the two verbally abused each other publicly at a chaotic function in Kisumu – and where at least 11 people were killed and dozens were injured in riots. He was detained for two years, and was consigned to political limbo until after Kenyatta's death in August 1978.
Kenyatta's successor, Daniel arap Moi, appointed Odinga as chairman of the Cotton Lint and Seed Marketing Board. He did not last long in the post, presumably because he was still outspoken against Kenyatta's policies. Odinga attempted to register a political party in 1982, but when Attorney-General Charles Njonjo amended the constitution (which made Kenya a de jure single-party state), his plans were foiled.


Following the failed coup of 1982 against Moi's government, Odinga was placed under house arrest in Kisumu. In 1990, he tried in vain with others to register an opposition party, the National Democratic Party.In 1991 he co-founded and became the interim chairman of Forum for the Restoration of Democracy (FORD). The formation of FORD triggered a chain of events that were to change Kenya's political landscape, culminating in ending KANU's 40 years in power – eight years after Odinga's death.


FORD split before the 1992 elections. Odinga himself vied for presidency on Ford-Kenya ticket, but finished fourth with a share of 17.5% votes. However, he regained the Bondo Constituency seat after being forced out of parliamentary politics for over two decades. Odinga died in 1994
 
Back
Top Bottom