Uchambuzi: Kuna Dalili Wakenya Wanakwenda Kumchagua 'Jogoo Mwembamba' (Uhuru Kenyatta)...!


nimeongea hivyo mara nyingi sana unajua lazima tuwe watu wakujaribu mabadiliko na kuono je kama ikiwa hiv nini kitatokea kwasababu webgi tunajua na nikuwa kenya mara ya mwisho mwaka mpya nikaongea na wakenya na kweli wanaona kama hii kesi inaendeshwa kwa maslai ya watu fulani tena walio nje ya kenya zaidi kuliko wakenye wadogo walio pale nchini sasa wakenya wengine ni kama wanapiga kura ya hasira maana wanayajua yote yaliotokea kwenye vurugu za uchaguzi ulipita kuliko walio nje ya kenya. na baada ya hapo tunaweza kuzungumzia ukabili nao una nafasi kwenye uchaguzi wa kenya na hii nayo ni advantage kwa Kenyata.
so mwache achukue tuone icc watanfanyaje, mi naona kama inaweza kubaki kesi yenye danadana kwa kipindi chotecha utawala wao, pia swala lingine ninaloliona ni pale wengi wanapotishi kuwa mataifa ya ulaya na marekani watawawekea vikwazo vya kiuchumi kama watamchagua kenyanta na hii nayo nataka kuona impact yake, ingawa sifikiri kama hili linaweza kutokea kwani hata taifa la marekani lilikwishasema kuwa uamuzi wa mwisho uko kwa wakenya wenyewe na hii ilikuwa inatumiwa zaidi na Railonzo katika kujipigia chapuo kumbe kwa upande mwingine kuna wakenya wenye akili kama zangu mimi na wewe wanataka kuona je ikiwa uhuru utaichukua nchi yao je watakiuwa huru kweli kutoka kwenye mikono ya watumwa wa marekani na uingereza? ngoja mpaka leo jioni tutajua
 

Hapo kweny red, ungekaa hata kwa wiki moja ndo ungefahamu hilo jambo haliwezekani hata kidogo. Nadhani umetumia theories sana zaidi ya reality ya siasa za kenya zilivyo.
 
Kwangu mimi, it doesn't matter....whether Uhuru or Raila since nawaona wote hawana maono tofauti dhidi ya TZ unless kama tutanaka kuzungumzia CCM na CHADEMA kwa kile ambacho wengine wanaamini CDM is Raila nd CCM is for Uhuru!
Maono tofauti kama yapi hayo dhidi ya Tanzania?
 
Binafsi sina matatizo na wakenya wamemchagua nani
lakini hili la icc na uungwaji mkono na mataifa makuu lazima litakuwa na impact kubwa kwa kenya, na tena sio nzuri bali mbaya
Tukubali tukatae lakini Uhuru kama atashinda ataiingiza Kenya kwenye wakati mgumu kiuchumi kwasababu tu walioshikilia uchumi wa dunia na wanoturimote hawamuungi mkonos, so watakachofanaya ni kubana uchumi wa kenya ili kudhihirisha hafai.
Kikubwa ni kama uhuru atashinda ajitahidi kwa kunguvu zake zote kutafuta uungwaji mkono na wakubwa vinginevyo kufa hata kufa ila chamoto atakiona
 
naiona kenya kama inatumbukia kwenye shimo reefu sana
 
Nikweli kabisa Uhuru anashinda kwani ni ukweli kabisa kama wakikuyu na wa Kalenjin wakimpigia Uhuru basi mahesabu ya uchaguzi wameisha.Wengi walitegemea si wakikuyu au wakalenjin wote watawapigia kina Uhuru;lakini mambo yalivyo wote wapo nyuma ya Uhuru
 
Kikubwa nawaombea wamalize salama, waige Tanzania Tume iliagizwa na TISS imtangaze Kikwete hakuna damu iliyomwagika tulichoangalia sisi ni amani bila kujali kama ni kweli Kikwete alishinda ama lah!!:rockon:
 
....uungwaji mkono na mataifa makuu lazima litakuwa na impact kubwa kwa kenya, na tena sio nzuri bali mbaya
Tukubali tukatae lakini Uhuru kama atashinda ataiingiza Kenya kwenye wakati mgumu kiuchumi kwasababu tu walioshikilia uchumi wa dunia na wanoturimote hawamuungi mkonos, so watakachofanaya ni kubana uchumi wa kenya ili kudhihirisha hafai.
Kikubwa ni kama uhuru atashinda ajitahidi kwa kunguvu zake zote kutafuta uungwaji mkono na wakubwa vinginevyo kufa hata kufa ila chamoto atakiona....

Hapa kwetu tumempa umiliki yule anayecontrol uchumi wa dunia lakn hali bado ngumu. Ni bora ya ugumu wa yule wasiemtaka kuliko wa yule wamtakaye.
 
Maono tofauti kama yapi hayo dhidi ya Tanzania?
In short hakuna yeyote kati yao ambae yupo against na wht's going on in Tanzania! Mathalani, tuchukulie Rwanda na DRC....mwananchi wa kawaida wa DRC hawezi kufurahi kuona mtu kama Kagame anashinda Urais Rwanda kutokana na siasa za Kagame dhidi ya DRC. So, kama kiongozi mwingine anachukua uongozi pale Rwanda, may be yale yanayotokea leo DRC yanaweza kuwa kinyume chake! Lakini, hamna kitu kama hicho kwa ama Uhuru au Raila dhidi ya TZ....!
 
Nimekuelewa Mkuu
 

we subiiri uone baada ya matokeo jinsi marekani watakavyotoa speech yao ya kumuunga mkono Uhuru hii kesi ya icc iliwastahili raila na mwai kibaki.
Unajua marekani wangependa kuona railonzo anashinda lakini wakenya wakimkataa itabidi wamerekani nao wamkubali kiunafki kwaajili ya maslai yao. pia kwavile chama cha onbama kinabalance kidogo kwenye ishu za kimataifa tofauti na chama cha Bush ingekuwa ni wabush wako madaraka pale marekani kungekuwa na sintofahamu ya hatari kwenye siasa za kenya leo hii lakini ukiangalia wamerekani kwasasa wameacha kwanza mambo yaende yenyewe na watakubaliana na matokeo tu. ila ingekuwa ni kile chama cha bush mi ninakuhakikishi Uhuru asingekuwa amefika hapo alipofika maana dunia nzima tunangalia na haki itatenda na tutaiona jinsi ilivyotendeka.
wangekuwa na nia ya kumshindisha Railonzoi wasingekubali kuweka mfumo huu wa uhesabuji kura ili waweze kuchakachua vile wanataka.
Pia uchaguzi huu utakuwa ni sample ya chaguzi nyingine kwa nchi zote za Africa, swala la maslahi ya marekani na mataifa mengine yalioendela litabaki pale pale haijalishi ni nani anaingia ikulu maana nchi za afrika isipokuwa zimbabwe ni waoga sana kuwekewa vikwazo vya kimatai na haswa jinsi marekani walivyo na ushawishi kwenye umoja wa mataifa na kwingineko hatuna pakutokea
 
Raila Odinga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.........:rockon:
 
BAndughuuu....its still morning ni asilimia kiduchu ya kura zimehesabiwa,afu Kenyans problems its their own
mess in their silver plata...Lets do watakavo coz aje KaKenyatta ama KaOmolo
hwana msaada wowote kwetu zaidi ya kutafuta barabara nyingine na kuwatungia jina wakimaliza kula utamu wao Ikulu..
Napitagaa tuu...
 
Kenya Live Updates: Registered voters 14,410996, Counted votes so far 3,526,332, Uhuru 1,904,528 (54%), Raila 1,458,624 (42%). Turnout 24%

 
I still think time is the factor here. Lets wait as the counting keeps coming. You will be mazed by 1300hrs gap between Raila n Uhuru lessens. Anyway.....
 
Mkuu mbona Uhuru Kenyatta alisha wahi kuwania Uraisi zaidi ya mara mbili na akashindwa, kama alikuwa anapendwa kupindukia nchini Kenya angeshinda kwenye attempt ya kwanza; mimi nafikili upigaji wa kura wakat mwingine huko highly unpredictable uwezi kujua mpiga kura amehamkaje siku ya upigaji KURA!

Mpaka sasa hivi ni karibu robo tu ya idadi za kura zimehesabiwa, kwa hiyo ni premature kumuhesabu Kenyatta kama mshidi wa kinyangilo hicho - Kumbuka OBAMA kura za mwanzo alionekana vipi? Watu wengi walifikili atashindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…