Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
salamu wanandugu,
Kama kichwa cha uzi .
NB: Noana kama ni kick basi waamefeli pakubwa sana .
Kama kichwa cha uzi .
Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale hakuna ngumi labda ni kick , hawakuwa serious.
Tuangalie kwanza mazingira waliyokutana. kama walipokutana ni gym je ,sehemu ya gym inaruhusu watu kupigana kama walivyotaka kufanya wao!? Ukweli ni kwamba kwa sheria za gym nyingi sio kupigana tu hata kuanzisha mzozo kama walivyofanya ni hatar, sehemu za gym ni kama sehemu ya starehe wana sheria nyingi sana na ulinzi wa kutosha kwa walichofanya ni ushamba pale kuna watu wengi sana wamekuja kufanya mazoezii.
Mwakinyo ni professional boxer. kama walivyo boxers wengina wakina Kiduku, Ibra class , Dullah mbabe wote wanatambulika na wamesajiliwa chini ya chama cha ngumi Tanzania, kitu ambacho kinamfanya Mwakinyo kutokana na taaluma yake asipigane hovyo anaweza kufutiwa hata usajili wake wa kujihusisha na ngumi za kulipwa .
Harmonize alikuwa na walinzi (bodyguards). Wale walinzi wa Harmonize kwa taaluma yao ya kumlinda wasingekubali Harmonize apigane au kupata ghasia ya aina yoyote itakayopelekea kuhatarisha usalama wake, kwa hali iliyokuwepo pale labda wale jamaa wote wangempiga Mwakinyo .Ilikuwa ni halali wale walinzi wa Harmonize kumshambulia Mwakinyo katika kutekeleza majukumu yao.