Uchambuzi: Kwanini Simba atapigwa 5+ na Wydad leo

Mnakuwa mmekula Nini.? Umevimbiwa?

Pambaneni na Hali yenu.

UTOPOLO HAMNA TIMU YA KLABU BINGWA MLE.
 
Kuna nyuzi mtu anaandika Hadi unaona aibu.

Unajiuliza alikuwa na haja gani ya kuposti vitu vya kufikirika.

Mtu yuko Newala huko anakwambia ana uzoefu wa Cafcl.

Kinachowasumbua Yanga Ni kutaka Simba akose ili tufanane,, mnaona Sana aibu kwa matokeo mnayopata.

Yanga ilijinasibu kwamba Ni bora San mpaka eti wanamtaka Mamelodi. Wana uwezo wa kumfunga yeyote Africa.

Mnaziendea mechi km mnacheza na Dodoma Jiji.

Uwanjani Ni kukimbia mwanzo mwisho.

Mlisahau Hawa Ni mabingwa wa nchi zao. Hili siyo shirikisho kombe la loser. Hamna Malumo, club Africain.

Mnataka Simba iwapunguzie maumivu.
 
Vip Yanga anahusikaje hapa...kweli wabongo hamuuwezi mpira [emoji23]
 
Ukweli ni kwamba Simba wanakuaga na bahati tu wakiwa viwanja vya warabu. Jamaa hua wanakosa magpli mengi ya wazi. Naamini wydad wakiwa na utulivu wa kutosha Leo ushindi kwao lazima
Mbumbumbu wa Mpira Ndiyo wewe Sasa.

Kwahiyo unawasifu wanaopiga na hawafungi.

Simba wao hawapigi wakakosa?

Yanga Ni mangapi wanapiga na hawafungi?

Madeama walipata nafasi ngapi na hawakufunga.

Unaongea km mtoto wa chekechea

Hujui kitu!
 
we jamaa nae kila muda kuizungumzia simba, we pambana na gamondi huko jangwani
 
mpka naona huruma kwa watakacho kutana nacho simba.
Hizi Ndiyo kauli za utopolo kwa Sasa.

Furaha yenu Sasa hivi ni Simba ifungwe.

Simba ilitoka sare kwa Mkapa na Al Ahly nkasema kule Cairo watafungua 5.
Haikutokea!

Hamchoki? Hamkumbuki mlichoongea Jana?
 
Mbumbumbu wa Mpira Ndiyo wewe Sasa.

Kwahiyo unawasifu wanaopiga na hawafungi.

Simba wao hawapigi wakakosa?

Yanga Ni mangapi wanapiga na hawafungi?

Madeama walipata nafasi ngapi na hawakufunga.

Unaongea km mtoto wa chekechea

Hujui kitu!
👏👏
 
Leo ni leo. Asemaye kesho ni muongo.
 
Hamjasema bado wapuuzi nyie.Mlidhani Huku Kuna Zalan.

Kila mtu ashinde mechi zake
Kila heri bado masaa 2 tu mtasema leooo....sio Ihefu za mdondo na bahasha....metinMgunda atatuvushaas pyuuuu
 
Wewe muoga muoga..hzi nyuzi za kipumbavu na kihusuda ndo unazipenda sana...kwenye live games zenu huwa unapotea...churaaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…