Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaumaaaaKwani ile ya algeria mlioshinda ilkuwa na umuhimu gani?
Halafu kwao wakakandwaKwani ile ya algeria mlioshinda ilkuwa na umuhimu gani?
Sishangai badala ya wengi akili kuongezeka wanabaki walewale wawiliDaaah Kweli Mbu mbu mbu
Mlivyotufunga mmechukua kombe Gani
Haya magoli ilibidi mumpige wydadi
Nyie mlishinda kwa waarabu wanaoshuka daraja.Simba lini aliwahi shinda Kwa waarabu
Waarabu weusi wa sudan au?Yanga ni kiboko ya waarabu
Wewe ni me au ke hivi utaolewa kweli??Halafu kwao wakakandwa
Mada za kujifarijiKuna mchambuzi mmoja kauliza kwanini Simba inaweza kushinda hata magoli kumi (10) kwenye mechi isiyo na umuhimu
Halafu mechi muhimu Ina draw au kupoteza???
Kiufupi wanapiga bomu mortuary [emoji23][emoji23]View attachment 2648911