Uchambuzi: Kwanini Simba inashinda sana mechi zisizo na umuhimu

Uchambuzi: Kwanini Simba inashinda sana mechi zisizo na umuhimu

Daaah Kweli Mbu mbu mbu

Mlivyotufunga mmechukua kombe Gani

Haya magoli ilibidi mumpige wydadi
Wydad kamfunge wewe ,siku yanga akiifunga team inayocheza ligi ya club bingwa njoo ulete mbwembwe kutakuruhusu.
 
Daaah Kweli Mbu mbu mbu

Mlivyotufunga mmechukua kombe Gani

Haya magoli ilibidi mumpige wydadi
Na nyie goal mlo mfunga USMA kwao mbna hamjachukua kombe?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom