Uchambuzi: Kwanini Simba inashinda sana mechi zisizo na umuhimu

Uchambuzi: Kwanini Simba inashinda sana mechi zisizo na umuhimu

😂😂😂😂😂😂😂
Ni kuwatoa nyongo tu mwaka huu.
 
Wydad kamfunge wewe ,siku yanga akiifunga team inayocheza ligi ya club bingwa njoo ulete mbwembwe kutakuruhusu.
Tumefanya sana huko nyuma wala sio limbukeni kama nyie..
Screenshot_20230607-213603.jpg
 
Waarabu, simba alimtoa zamalek akiwa bingwa wa afrika hukohuko misri, subirini msimu ujao mkitane na waarabu wa kweli
Inawezekana hata wewe ulikuwa not yet born
 
Shida gan?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kurusha mpira miwili......kuwasha moshi

Kupoteza time ...inshort mwarabu alichanganyikiwa na shughuli ya wanaume
 
Ndio kawaida Yao. Wanaweza kumleta mchezaji mzuri ( Manzoki) siku isiyo muhimu na siku muhim za usajili wakamleta Sawadogo
 
Back
Top Bottom