Wydad kamfunge wewe ,siku yanga akiifunga team inayocheza ligi ya club bingwa njoo ulete mbwembwe kutakuruhusu.Daaah Kweli Mbu mbu mbu
Mlivyotufunga mmechukua kombe Gani
Haya magoli ilibidi mumpige wydadi
Sawa UtoNdio kama hizi Makolo wanacheza
Kwani ile ya Algeria mlioshinda ilkuwa na umuhimu gani?
Sasa kuna maana gani kushinda kwao wakati kwenu mmeshindwa..Lkn hanjawahi kushinda ugenini Kwa waarabu [emoji1]
Kombe la fainali...Fainali ni fainali mkuu..... don't compare it with Robo
Yanga ni kiboko ya waarabu
Na nyie goal mlo mfunga USMA kwao mbna hamjachukua kombe?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah Kweli Mbu mbu mbu
Mlivyotufunga mmechukua kombe Gani
Haya magoli ilibidi mumpige wydadi
Ilikuwa na umuhimu ndio maana mkabeba kombeTulivyowafunga mechi haikuwa na umuhimu pia tulivyowapiga horoya goli Saba mechi haikuwa na umuhimu
Kuvaa medali bila kuchukua kombe ni sawa na kuvaa hiriziIlikuwa na umuhimu ndio maana mkabeba kombe
magoli mchongoKuna mchambuzi mmoja kauliza kwanini Simba inaweza kushinda hata magoli kumi (10) kwenye mechi isiyo na umuhimu
Halafu mechi muhimu Ina draw au kupoteza???
Kiufupi wanapiga bomu mortuary [emoji23][emoji23]View attachment 2648911