Hapana hayo ni mafikira yakoMkuu najua naww hili swala linakuumiza kichwa
Too low, unanajisi hilo jina bandia unalotumiaKuvaa medali bila kuchukua kombe ni sawa na kuvaa hirizi
Tumefanya sana huko nyuma wala sio limbukeni kama nyie..Wydad kamfunge wewe ,siku yanga akiifunga team inayocheza ligi ya club bingwa njoo ulete mbwembwe kutakuruhusu.
Waarabu, simba alimtoa zamalek akiwa bingwa wa afrika hukohuko misri, subirini msimu ujao mkitane na waarabu wa kweliSimba lini aliwahi shinda Kwa waarabu
Enzi hizo Al ahly wa motoTumefanya sana huko nyuma wala sio limbukeni kama nyie..View attachment 2649357
Shida gan?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lkn nadhani uliona alivyopata sheeda
Ligi imeisha lini?Pengine yanaweza kuwa sahihi cozu haiwezekan Ligue imeisha......ndio tunapiga mtu goli nyingi[emoji23][emoji23]
Sishangai badala ya wengi akili kuongezeka wanabaki walewale wawili