Uchambuzi: Kwanini wasichana wengi wanafikia umri wa miaka 30 wakiwa hawajaolewa na hawajali

Uchambuzi: Kwanini wasichana wengi wanafikia umri wa miaka 30 wakiwa hawajaolewa na hawajali

Hoja zako ni mfu. Huwezi kuwalaumu wanawake kuwa hawajaolewa ,, ukaacha sisi wanaume ambao jukumu letu ndio uoaji. Sisi tusipo oa wanawake wataolewa na nani? Sisi wanaume ndio tunaoamua kuoa, mwanamke hawezi kuamua kuolewa. Pia Mafanikio ya kiuchumi na Elimu ni makubwa kuliko ndoa ,, 1. Elimu 2., uchumi 3. Ndoa na mambo mengine
 
Binafsi Naoa ndoa ni Muhimu sana kwa maisha ya sasa na baadae.

Unlike Vijijini.
Ila Sababu kubwa inayofanya wanawake wa mjini wasitaman ndoa ni kujilinganisha na wanaume , Kujimudu (kumudu gharama za maisha bila kutegemea mwanaume) na kusikia sababu kadha wa kadha za ndoa za marafik zao zilizofanya ndoa kuvunjika.

Ila hilo sio Tija sana. Kwasababu sio kwasababu mume wa rafik ako ana tabia has bas ndio wanaume wote tuko hivyo.
Sio kwamba utaweza kujimudu maisha yako yote. Kuna kuumwa ajali na vifo ambavyo vitaacha watoto wako wakiteseka.
Na hata kama una hela na elimu kubali kuwa ww ni msaidizi wa mwanaume. Ili maisha yaende.
Tafuta mwenye hadhi yako na ukubali kuwa mwenza na msaidiz wake.

Ewe mwanaume /mwanamke .
Hebu Fikiria Mungu amekuwezesha kufika miaka 25 mbele.
Ila Bila mwenza..nguvu zimepungua. Magonjwa nyemelez yamekuandama. Pemben yako hauna mfariji. Watoto umezaa na watu tofauti. Na wako mbali. Umekaa una upweke wa kutosha.

This Shit ndio zinaua wazee weng hasa Wanaume. Coz wanakuwa na majuto meng ya kipind cha ujana wao.

Tutawaza sana jinsi tulivyotumia nguvu zetu kunywa mapombe na kulooomba kila aina ya mbususu badala ya kujenga mising mizur ya familia yako.

Ndoa Muhimu na iheshimiwe na Kila mtu aliyoko kwenye ndoa.

View: https://www.instagram.com/reel/DUd5BDzNZXX/?igsh=MWd4OXF6NzR4eTkwcw==
 
Mara nyingi sio kwamba mabinti hawataki kuolewa, au hawatongozwi, sasa unakuta kati ya wanaume 10 wanaomtongoza binti wenye nia ya kumuoa, binti hajampenda hata mmoja kati ya hao wanaume

Ikitokea binti kapenda mwanaume, wakawa kwenye mahusiano, huyo mwanaume anakua ni mtu wa kupita tu, hit and run, au huyo mwanaume anakua na tabia zisizovumilika, sasa mtu anakua paralyzed anashindwa achague kipi aache kipi

Haya mambo sio rahisi kihivyo, ko tusinyoosheane vidole Seran
 
Sikia nikwambie, sio rahisi kama unavyofikiria! Asiye na hili ana lile.. hao watu 10 hakosekani mwenye nia njema! Na unatongozwaje inategemea tu niseime hivyo!
 
Back
Top Bottom