Uchambuzi: Kwanini wasichana wengi wanafikia umri wa miaka 30 wakiwa hawajaolewa na hawajali

Hoja zako ni mfu. Huwezi kuwalaumu wanawake kuwa hawajaolewa ,, ukaacha sisi wanaume ambao jukumu letu ndio uoaji. Sisi tusipo oa wanawake wataolewa na nani? Sisi wanaume ndio tunaoamua kuoa, mwanamke hawezi kuamua kuolewa. Pia Mafanikio ya kiuchumi na Elimu ni makubwa kuliko ndoa ,, 1. Elimu 2., uchumi 3. Ndoa na mambo mengine
 

View: https://www.instagram.com/reel/DUd5BDzNZXX/?igsh=MWd4OXF6NzR4eTkwcw==
 
Mara nyingi sio kwamba mabinti hawataki kuolewa, au hawatongozwi, sasa unakuta kati ya wanaume 10 wanaomtongoza binti wenye nia ya kumuoa, binti hajampenda hata mmoja kati ya hao wanaume

Ikitokea binti kapenda mwanaume, wakawa kwenye mahusiano, huyo mwanaume anakua ni mtu wa kupita tu, hit and run, au huyo mwanaume anakua na tabia zisizovumilika, sasa mtu anakua paralyzed anashindwa achague kipi aache kipi

Haya mambo sio rahisi kihivyo, ko tusinyoosheane vidole Seran
 
Sikia nikwambie, sio rahisi kama unavyofikiria! Asiye na hili ana lile.. hao watu 10 hakosekani mwenye nia njema! Na unatongozwaje inategemea tu niseime hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…