Uchambuzi: Maeneo yatakayoiangusha Simba SC kuchukua Kombe la FA, NBCPL na Ngao

Uchambuzi: Maeneo yatakayoiangusha Simba SC kuchukua Kombe la FA, NBCPL na Ngao

Kwa upande wa ukabaji, nadhani kwa mbali bado Kanoute anaweza akawasaidia. Kocha akiamua kuipanga timu kiufundi, sidhani kama Chama na Luis Muquison wanaweza kupata namba pale.

Wanawachezaji wengi wazuri ambao yamkini wakiamua kujituma, huenda wakapata matokeo mazuri kimataifa sababu wana uzoefu mkubwa, ila kwa hapa ndani yamkini bado wakawa na kazi kubwa.
ACHA WAHANGAIKE
 
Kwa kweli uchambuzi umelenga kunako! Miquissone na Chama magarasa, hawana maajabu, Kanoute Mzee wa rafu mpira umeisha na siku hizi wanamlima viatu hadi anaomba poo, ni majeruhi Kila wakati, Mzamiru hana akili ya kushambulia , ye ni kukaba akipata mpira anawaza kurudisha kwa kipa! Simba hii uozo mtupu!
SAIVI NDIYO WANAONA
 
Hisia nyingi wakati hata iyo Simba aijui.Namba sita wapo viungo wawili namba nane pia wapo viungo wawili.

Namba kumi wapo watatu,namba 11 pia wapo watatu.
wewe umewaona Merquesone,Chama,Kanoute na Muzamir mbona Kibu mifataki hujamtaja?
KALAGA BAHO
 
Back
Top Bottom