NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
POLE SANA MTANIWewe tena..aisee..usitutoe kwenye Reli tuko busy na Simba Week
NADHANI NILICHOZUNGUMZA UMEKIONAkwanini usilete uchambuzi jinsi yanga itakavyochukua ubingwa unabaki kuhangaika na Timu usiyo na maslaho nayo
ACHA WAHANGAIKEKwa upande wa ukabaji, nadhani kwa mbali bado Kanoute anaweza akawasaidia. Kocha akiamua kuipanga timu kiufundi, sidhani kama Chama na Luis Muquison wanaweza kupata namba pale.
Wanawachezaji wengi wazuri ambao yamkini wakiamua kujituma, huenda wakapata matokeo mazuri kimataifa sababu wana uzoefu mkubwa, ila kwa hapa ndani yamkini bado wakawa na kazi kubwa.
Pole sana aiseeKila Siku wewe ni simba kafanya hivi mara simba kafanya vile kweli nimeamini waliopo yanga wenye akili ni mzee manara na kikwete tu
POLE SANAHuyu jamaa lofa sana!! Uchambuzi mbovu
POLE SANA AISEEAsante mwanayanga kwa uchambuzi wa timu yetu ya simba[emoji2][emoji2][emoji2] endelea kuishi kwa kukariri
SAIVI NDIYO WANAONAKwa kweli uchambuzi umelenga kunako! Miquissone na Chama magarasa, hawana maajabu, Kanoute Mzee wa rafu mpira umeisha na siku hizi wanamlima viatu hadi anaomba poo, ni majeruhi Kila wakati, Mzamiru hana akili ya kushambulia , ye ni kukaba akipata mpira anawaza kurudisha kwa kipa! Simba hii uozo mtupu!
KALAGA BAHOHisia nyingi wakati hata iyo Simba aijui.Namba sita wapo viungo wawili namba nane pia wapo viungo wawili.
Namba kumi wapo watatu,namba 11 pia wapo watatu.
wewe umewaona Merquesone,Chama,Kanoute na Muzamir mbona Kibu mifataki hujamtaja?
TAHRA WEWE.HUNA AKILI
RAMLI YANGU UMEIONAMbon umekuw mtu wa lamli
SAWA NADHANI MMEKIONAUozo upo utopoloni..vyura wamekufa wamezagaa...
[emoji2772]Bado kuvaa chupi na shanga
[emoji2772][emoji16]Unajitia dole Halafu unajichekesha!
[emoji2772][emoji16][emoji2772]Empty set!
[emoji2772][emoji16]Yanga tabia zao ni sawa na tabia za ngedere wenye mimba
Wanateseka saana mkuu.ACHA WAHANGAIKE
Walinitukana sana nilipoandika huu Uzi saivi wanaupita kwa aibu.Mkuu ulinena na leo uliyonena yametimia rasmi.
Timu imeshakufa hii.
SAWA NADHANI MMEKIONA