Uchambuzi: Maeneo yatakayoiangusha Simba SC kuchukua Kombe la FA, NBCPL na Ngao

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Huu ni ukweli mchungu lakini lazima usemwe, Simba SC imefanya usajili kwa matumaini makubwa wakiamini kuwa watapata mafanikio makubwa ikiwemo kuchukua makombe.

NALIA NGWENA kila nikitazama usajili mpya na wachezaji waliopo naona bado Simba SC watazomewa na mashabiki kama ilivyotokea Mtwara kwenye kiwanja cha Nangwanda Sijaona baada ya kuchezea kichapo kitakatifu na Azam FC.

1/ viungo wakabaji hapa kuna sadio kanuti, Muzamiru na Fabrice Ngoma eneo hili kila ninapotazama naona bado kabisa kwa kanuti anajua kucheza Rafu tu kwa mzamiru anapokutana na Timu yenye viungo wenye akili huwa anapotea vibaya mno.

Hivyo basi kila nikitazama kiungo Cha Azam na Yanga naona kabisa Sadio kanuti na Mzamiru hawafiti, naona eneo la Kati Simba SC siyo bora.

Namba kumi na namba kumi na moja inasemekana kuwa Chama atacheza namba kumi wakati Miqson namba kumi na moja.

Miqson yule siyo sawa na Mikson wa sasa na mashabiki wasitegemee kumuona Mikson yule aliyechukuliwa na Al Ahly wa sasa kashuka kiwango, hilo halina ubishi. Alipelekwa kwa mkopo Saudi Arabia lakini hakuna alichokionesha.

Wote tunajua Chama ni mchezaji wa mashabiki pamoja na viongozi lakini siyo pendekezo la kocha Ina maana hafiti kabisa katika falisafa za Robertinho bado sioni kombinesheni yoyote Kama ilivyokua mwanzo Chama na Mikson.

111/kipa naona Simba SC ikipoteza pointi/kudondosha point kutoka kwa kipa huyu wa kigeni wanayehangaika kumtafuta.

Mashabiki jiandaeni kisaikolojia.
 
Huu ni ukweli mchungu lakini lazima usemwe, Simba sc imefanya usajili kwa matumaini makubwa wakiamini kuwa watapata mafanikio makubwa ikiwemo kuchukua makombe,

NALIA NGWENA kila nikitazama usajili mpya na wachezaji waliopo naona bado Simba sc watazomewa na mashabiki Kama ilivyotokea mtwara kwenye kiwanja Cha Nangwanda Sijaona baada ya kuchezea kichapo kitakatifu na Azam Fc.

1/ viungo wakabaji hapa Kuna sadio kanuti, Muzamiru na Fabrice Ngoma eneo hili kila ninapotazama naona bado kabisa kwa kanuti anajua kucheza Rafu tu kwa mzamiru anapokutana na Timu yenye viungo wenye akili huwa anapotea vibaya mno.

Hivyo basi kila nikitazama kiungo Cha Azam na Yanga naona kabisa Sadio kanuti na Mzamiru hawafiti, naona eneo la Kati Simba sc siyo Bora.

11/namba kumi na namba kumi na moja inasemekana kuwa Chama atacheza namba kumi wakati Miqson namba kumi na moja.

Miqson Yule siyo sawa na mikson wa Sasa na mashabiki wasitegemee kumuona mikson Yule aliyechukuliwa na Al ahly wa Sasa kashuka kiwango Hilo halina ubishi alipelekwa kwa mkopo saud Arab lakin hakuna alichokionesha.

Wote tunajua Chama ni mchezaji wa mashabiki pamoja na viongozi lakini siyo pendekezo la kocha Ina maana hafiti kabisa katika falisafa za Robertinho bado sioni kombinesheni yoyote Kama ilivyokua mwanzo Chama na Mikson.

111/kipa naona Simba sc ikipoteza pointi/kudondosha point kutoka kwa kipa huyu wa kigeni wanayehangaika kumtafuta.

Mashabiki jiandaeni kisaikolojia.
Sawa
 
Kwa upande wa ukabaji, nadhani kwa mbali bado Kanoute anaweza akawasaidia. Kocha akiamua kuipanga timu kiufundi, sidhani kama Chama na Luis Muquison wanaweza kupata namba pale.

Wanawachezaji wengi wazuri ambao yamkini wakiamua kujituma, huenda wakapata matokeo mazuri kimataifa sababu wana uzoefu mkubwa, ila kwa hapa ndani yamkini bado wakawa na kazi kubwa.
 
Huu ni ukweli mchungu lakini lazima usemwe, Simba sc imefanya usajili kwa matumaini makubwa wakiamini kuwa watapata mafanikio makubwa ikiwemo kuchukua makombe,

NALIA NGWENA kila nikitazama usajili mpya na wachezaji waliopo naona bado Simba sc watazomewa na mashabiki Kama ilivyotokea mtwara kwenye kiwanja Cha Nangwanda Sijaona baada ya kuchezea kichapo kitakatifu na Azam Fc.

1/ viungo wakabaji hapa Kuna sadio kanuti, Muzamiru na Fabrice Ngoma eneo hili kila ninapotazama naona bado kabisa kwa kanuti anajua kucheza Rafu tu kwa mzamiru anapokutana na Timu yenye viungo wenye akili huwa anapotea vibaya mno.

Hivyo basi kila nikitazama kiungo Cha Azam na Yanga naona kabisa Sadio kanuti na Mzamiru hawafiti, naona eneo la Kati Simba sc siyo Bora.

11/namba kumi na namba kumi na moja inasemekana kuwa Chama atacheza namba kumi wakati Miqson namba kumi na moja.

Miqson Yule siyo sawa na mikson wa Sasa na mashabiki wasitegemee kumuona mikson Yule aliyechukuliwa na Al ahly wa Sasa kashuka kiwango Hilo halina ubishi alipelekwa kwa mkopo saud Arab lakin hakuna alichokionesha.

Wote tunajua Chama ni mchezaji wa mashabiki pamoja na viongozi lakini siyo pendekezo la kocha Ina maana hafiti kabisa katika falisafa za Robertinho bado sioni kombinesheni yoyote Kama ilivyokua mwanzo Chama na Mikson.

111/kipa naona Simba sc ikipoteza pointi/kudondosha point kutoka kwa kipa huyu wa kigeni wanayehangaika kumtafuta.

Mashabiki jiandaeni kisaikolojia.
Asante mwanayanga kwa uchambuzi wa timu yetu ya simba[emoji2][emoji2][emoji2] endelea kuishi kwa kukariri
 
Huyu jamaa lofa sana!! Uchambuzi mbovu
Kwa kweli uchambuzi umelenga kunako! Miquissone na Chama magarasa, hawana maajabu, Kanoute Mzee wa rafu mpira umeisha na siku hizi wanamlima viatu hadi anaomba poo, ni majeruhi Kila wakati, Mzamiru hana akili ya kushambulia , ye ni kukaba akipata mpira anawaza kurudisha kwa kipa! Simba hii uozo mtupu!
 
Hawataki kuambiwa ukweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom