Uchambuzi: Maeneo yatakayoiangusha Simba SC kuchukua Kombe la FA, NBCPL na Ngao

Hisia nyingi wakati hata iyo Simba aijui.Namba sita wapo viungo wawili namba nane pia wapo viungo wawili.

Namba kumi wapo watatu,namba 11 pia wapo watatu.
wewe umewaona Merquesone,Chama,Kanoute na Muzamir mbona Kibu mifataki hujamtaja?
Kwani kipindi kile mlikua mnaviungo wangapi wakabaji??

Mbona wengine hawakucheza??

Kama timu iNampangia kocha acheze Nani na nan??
Unadhadhani chama atakaa nje na Mikson ??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni ukweli mchungu lakini lazima usemwe, Simba SC imefanya usajili kwa matumaini makubwa wakiamini kuwa watapata mafanikio makubwa ikiwemo kuchukua makombe.

NALIA NGWENA kila nikitazama usajili mpya na wachezaji waliopo naona bado Simba SC watazomewa na mashabiki kama ilivyotokea Mtwara kwenye kiwanja cha Nangwanda Sijaona baada ya kuchezea kichapo kitakatifu na Azam FC.

1/ viungo wakabaji hapa kuna sadio kanuti, Muzamiru na Fabrice Ngoma eneo hili kila ninapotazama naona bado kabisa kwa kanuti anajua kucheza Rafu tu kwa mzamiru anapokutana na Timu yenye viungo wenye akili huwa anapotea vibaya mno.

Hivyo basi kila nikitazama kiungo Cha Azam na Yanga naona kabisa Sadio kanuti na Mzamiru hawafiti, naona eneo la Kati Simba SC siyo bora.

Namba kumi na namba kumi na moja inasemekana kuwa Chama atacheza namba kumi wakati Miqson namba kumi na moja.

Miqson yule siyo sawa na Mikson wa sasa na mashabiki wasitegemee kumuona Mikson yule aliyechukuliwa na Al Ahly wa sasa kashuka kiwango, hilo halina ubishi. Alipelekwa kwa mkopo Saudi Arabia lakini hakuna alichokionesha.

Wote tunajua Chama ni mchezaji wa mashabiki pamoja na viongozi lakini siyo pendekezo la kocha Ina maana hafiti kabisa katika falisafa za Robertinho bado sioni kombinesheni yoyote Kama ilivyokua mwanzo Chama na Mikson.

111/kipa naona Simba SC ikipoteza pointi/kudondosha point kutoka kwa kipa huyu wa kigeni wanayehangaika kumtafuta.

Mashabiki jiandaeni kisaikolojia.
HUNA AKILI
 
Hayo ni maoni yako tunashukuru. Lakini Kwa maoni yangu na wengine hujagusa eneo ambalo Simba wako weak. Kama alivyo binadamu yeyote timu hata iwe nzuri kiasi gani lazima iwe na udhaifu sehemu Fulani. Yanga na Azam Wana maeneo Yao dhaifu, Madrid na Barcelona Wana maeneo Yao yenye udhaifu. Vivyo hivyo Kwa Man city na Liverpool.
Kwa Simba eneo ninaloona ni dhaifu kwao ni beki ya Kati.
Wakati utaongea.
 
  • Thanks
Reactions: BRN

Beki wa Kati watakuaje Bora Kama viungo wakabaji ni dhaifu???

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unaipenda sana simba tatizo baba ako wa kufikia ambae ndio anaeleta chakula nyumbani kwenu amekulazimisha uwe utopolo. Ndio mana huishi kuamdioa nyuzi za kuiponda simba ili muendelee kwenda chooni
 
Na aliyekuzaa pia umemsahau[emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ila utopolo???mna nini lakini
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kwa kweli uchambuzi umelenga kunako! Miquissone na Chama magarasa, hawana maajabu, Kanoute Mzee wa rafu mpira umeisha na siku hizi wanamlima viatu hadi anaomba poo, ni majeruhi Kila wakati, Mzamiru hana akili ya kushambulia , ye ni kukaba akipata mpira anawaza kurudisha kwa kipa! Simba hii uozo mtupu!
Uozo upo utopoloni..vyura wamekufa wamezagaa...
 
Back
Top Bottom