Uchambuzi: Magoli ya Simba ni ya bahati, bado ni mbovu

Kwahiyo na Wewe Ni mchambuzi. Umechambua mechi ya Simba vs Al Ahly.

Ni ajabu Sana! Mtu chochote kinachokujia kwenye hisia ZAKO unakileta humu.

Magoli ya bahati! Simba hawakucheza Moira kabisa.
 
Authentic bonehead! Asshole!
 
Performance ya simba dhidi ya al ahly imewatisha sana yanga yani hawakutegemea ndo maana nyuzi za kila dakika haziishi humu jukwaani. Wanasimba vumilieni tu huo wote uoga na hawajaamini kilichotokea hivyo wanataka kutu-win kisaikolojia waturudishe tena kwenye ( simba inacheza papatu papatu) ..Na kwa mpira wa jana, tukikutana tena na vyura zile 5 zita wahusu maana simba tumejitafuta na tumejipata. Yangu ni hayo tu..
 
Ashura cheupe mnafki wa taifa aliposema utopolokwinyo wenye akili ni wawili alikua sahihi, pitisheni bakuli tuwachangie mkalipie upumbavu mlioufanya kwa mabwana zenu Ihefu kwa sababu tunajua nyie ni maskini wa pesa na akili, hizo ngonjera peleka kwa wanawake wenzio huku kwa wanaume hatutaki kelele
 
Huna Kaz za kufanya Hadi urudie kutazampira wa Simba kweli
 
Sawa mkuu
 
Sema tukiweka utani pembeni....Jan Simba mlicheza kiume sana .....waarabu hawakuamini walichokutana nacho [emoji23][emoji23]

Chemolone alimficua Percy Tau adi Tau akaanza kucheza rafu
 
Kwahiyo na Wewe Ni mchambuzi. Umechambua mechi ya Simba vs Al Ahly.

Ni ajabu Sana! Mtu chochote kinachokujia kwenye hisia ZAKO unakileta humu.

Magoli ya bahati! Simba hawakucheza Moira kabisa.
Kwan Kuna uongo hapo?
 
Magoli ya bahati [emoji23]
 
Sawa Simba wamebahatisha haya nendeni nyie mkafunge magoli ya kideoni ila mhakikishe huo mwiko huko nyuma mnaudidimiza kabisa kabla ya kupanda ndege.
 
Sawa Simba wamebahatisha haya nendeni nyie mkafunge magoli ya kideoni ila mhakikishe huo mwiko huko nyuma mnaudidimiza kabisa kabla ya kupanda ndege.
Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau kuziba nafasi hasa ukiwashambulia kwa kasi

Na ni moja ya siraha ya Yanga ni kasi wanashambulia kwa speed sana kiasi kwamba ukiwaachia tu nafasi kidogo lazima wakufunge"

[emoji2399]Alex Ngereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…