kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo na Wewe Ni mchambuzi. Umechambua mechi ya Simba vs Al Ahly.Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Authentic bonehead! Asshole!Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Huna Kaz za kufanya Hadi urudie kutazampira wa Simba kweliLeo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Sawa mkuuUkiumbuka chutama.. Ukiongea unazidi kujidhalilisha labda tu kwa kukubali umepotoka!
Linganisha post yako hii ni zile nyingi kabla ya mechi. Ni mbingu za ardhi.. Mpira ni magoli sio chenga! Uchambuzi wowote baada ya mechi kwa mtu alikuwa biased na kila aina ya kejeli unabaki kuwa uchambuzi wa kipuuzi na kujifariji
Ningekuwa mimi ninepiga kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tukiweka utani pembeni....Jan Simba mlicheza kiume sana .....waarabu hawakuamini walichokutana nacho [emoji23][emoji23]Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu
Maadui wa mnyama SIMBA hasa baadhi ya wanayanga wasiojitambua waliomba dua zote SIMBA ifungwe Wakafanya kila aina ya fitina mpaka majungu na masufuria bila kusahau ulozi. Mpira una matokeo matatu Kufunga Kufungwa Suluhu Asanteni sana wachezaji wote Asanteni sana makocha wote Asanteni sana...www.jamiiforums.com
Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Magoli ya bahati [emoji23]Performance ya simba dhidi ya al ahly imewatisha sana yanga yani hawakutegemea ndo maana nyuzi za kila dakika haziishi humu jukwaani. Wanasimba vumilieni tu huo wote uoga na hawajaamini kilichotokea hivyo wanataka kutu-win kisaikolojia waturudishe tena kwenye ( simba inacheza papatu papatu) ..Na kwa mpira wa jana, tukikutana tena na vyura zile 5 zita wahusu maana simba tumejitafuta na tumejipata. Yangu ni hayo tu..
Sawa Simba wamebahatisha haya nendeni nyie mkafunge magoli ya kideoni ila mhakikishe huo mwiko huko nyuma mnaudidimiza kabisa kabla ya kupanda ndege.Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau kuziba nafasi hasa ukiwashambulia kwa kasiSawa Simba wamebahatisha haya nendeni nyie mkafunge magoli ya kideoni ila mhakikishe huo mwiko huko nyuma mnaudidimiza kabisa kabla ya kupanda ndege.