Uchambuzi: Mambo 10 na kwanini shambulizi la Iran limefanikiwa kwa asilimia 100%

Kiukweli kuna mambo nimeona nimejifunza kitu na kama taifa tunapaswa kujifunza kitu

Kwanza, hili shambulizi limetokea kama Suprise tofauti na lile la mwezi April ambalo Israel walijiandaa vya kutosha nchi kama 30 zilienda kumsaidia kuanzia angani, baharini na nchi kavu.

Pili,Iran katumia makombora yenye kasi sana kiasi kwamba ni ngumu kuyadhibiti, kwa mfano, makombora yanasafiri dk 5 tu au dk 10 kitu ambacho sio rahisi kujiandaa kuyadhibiti

Tatu Israel na US wamegundua ikiwa too late sana, tofauti na ilivyotarajiwa maana tungeona walau maandalizi yangekua makubwa

Nne,Mashambulizi yamekua live sana kiasi kwamba ilikua ni ngumu kwa adui kuyaficha,vyombo vya habari vyote,media zilionyesha live vitu vikipenya kama mvua na sitoshangaa wakisema hawajapata madhara na hakukua na shambulio kabisa maana jamaa wanapenda sana kuficha uhalisia

Tano, Ndege zaidi ya 25 za F-35 ndege ghali zaidi zimechomwa kabisa na kuharibiwa,vituo vya kijeshi vingi vimeteketezwa kabisa, i wonder watatuambia hakuna vifo wala majeruhi maana kwa propaganda waisrael ni mashallah

Sita,Waziri mkuu na kiongozi wa nchi kukimbia nchi akikimbia shambulizi ni aibu kubwa sana, hii habari imethibitishwa 100% kuwa Netanyahu kakimbia nchi kwa ndege na kuwaachia mateso raia wake

Saba,Mfumo wa Ulinzi wa Israel imefeli kabisa kuzuia makombora kwani asilimia 90% mpaka 95 ya makombora ya Iran yamepenga kikamilifu,pia mifumo mingi ya ulinzi imeharibiwa vibaya mno.

Nane, Iran walitumia mifumo wa kuhack kuwachanganya viongozi wa Israel,wanajeshi na Raia mfano mifumo ya kutoa taarifa na ving'ora na app za kutoa tahadhari zilionekana zikitoa taarifa za kuchanganya na kukanganya watu kuhusu ujio wa makombora ya Iran.

Tisa,Wengi walitarajia kabisa kuwa shambulizi la Iran litakuja baada ya ijumaa baada kutangazwa kuwa ayatollah atatoa tamko rasmi, hii ilitangazwa ili kuwafanya waisrael na serikali yao idhanie kuwa Iran italipiza labda hadi ayatollah atoe tamko ijumaa au tangazo,lakini hii ilifanywa kuwageuza fikra wawaze ijumaa badala ya kuwaza leo.

Kumi, Shambulizi hili ni ushindi mkubwa kwa Iran na washirika wake kwenye eneo hili shambulizi litaingia kwenye rekodi za dunia kuwa ni operesheni kubwa zaidi dhidi ya Israel kuwahi kufanikiwa zaidi katika historia ya Dunia kwani kurusha makombora halafu yakapenya kwa ufanisi wa Asilimia 90-95 sio jambo dogo kwa nchi iliyo na mifumo mizuri ya anga kama ya Israel

HITIMISHO: Shambulizi hili limeonyesha udhaifu mkubwa wa Israel, Israel imeonekana kama Chui wa karatasi tu (paper tiger) ikimaanisha Israel bila marekani au ulaya hawezi kusavaivu kabisa.

PIA SOMA
- Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia
Subiri uone huo mziki anaokuja nao myaudi. Tena Iran aombe sana kusiwe naraia aliyekufa, maana Israeli ana cho fanya anasitisha opreshen ya Palestine na ya hezbollaa anarudisha jeshi,ana lituma iran atapigwa juu chini, tyar neta nyau kashaongea na mrusi aondoe watu wake huko Iran na baadhi ya nchi maana ,ana kwenda kuichoma Iran na mafuta yake kaa utulie usikilize huo mziki CD buku
 
Casualities lazima itokee hasa kwa askari ambao wanakuwa kwenye base ila raia wote wako ndani ya bunkers, bado makombora hayo yamefikiwa kiasi kikubwa, asilimia kubwa zinadondoka scraper zilizodondoshwa na anti- missiles za Israel
 
Yaani haya mambo mnayafanya kama propaganda za CCM. Mimi nimeona BBC wamesema mapema kwamba Iran wana mpango wa kuishambulia Iran. Najua mna shauku sana kusikia kuna kidume kimeipiga Israel. Israel akijibu mashambulizi ya kiwango sawa na haya ya Iran utasikia maafa mkubwa sana huko Iran. Tusubiri najua mtaanza kulialia tena...
Mbona Uweleweki kwenye Coment Yako? ANDIKA Kwa kutulia, Eti Umesikia Iran Wana Mpango wa kuishamblia Iran, Duuuuuu Unakimbilia Wapi Wewe ? Unakuwa kama Muislam wa Buva Kwa Mparange Mvaa kobazi?
 
Hiyo si kukosea tu ndugu yangu....
 
Kiukweli kuna mambo nimeona nimejifunza kitu na kama taifa tunapaswa kujifunza kitu

Kwanza, hili shambulizi limetokea kama Suprise tofauti na lile la mwezi April ambalo Israel walijiandaa vya kutosha nchi kama 30 zilienda kumsaidia kuanzia angani, baharini na nchi kavu.

Pili,Iran katumia makombora yenye kasi sana kiasi kwamba ni ngumu kuyadhibiti, kwa mfano, makombora yanasafiri dk 5 tu au dk 10 kitu ambacho sio rahisi kujiandaa kuyadhibiti

Tatu Israel na US wamegundua ikiwa too late sana, tofauti na ilivyotarajiwa maana tungeona walau maandalizi yangekua makubwa

Nne,Mashambulizi yamekua live sana kiasi kwamba ilikua ni ngumu kwa adui kuyaficha,vyombo vya habari vyote,media zilionyesha live vitu vikipenya kama mvua na sitoshangaa wakisema hawajapata madhara na hakukua na shambulio kabisa maana jamaa wanapenda sana kuficha uhalisia

Tano, Ndege zaidi ya 25 za F-35 ndege ghali zaidi zimechomwa kabisa na kuharibiwa,vituo vya kijeshi vingi vimeteketezwa kabisa, i wonder watatuambia hakuna vifo wala majeruhi maana kwa propaganda waisrael ni mashallah

Sita,Waziri mkuu na kiongozi wa nchi kukimbia nchi akikimbia shambulizi ni aibu kubwa sana, hii habari imethibitishwa 100% kuwa Netanyahu kakimbia nchi kwa ndege na kuwaachia mateso raia wake

Saba,Mfumo wa Ulinzi wa Israel imefeli kabisa kuzuia makombora kwani asilimia 90% mpaka 95 ya makombora ya Iran yamepenga kikamilifu,pia mifumo mingi ya ulinzi imeharibiwa vibaya mno.

Nane, Iran walitumia mifumo wa kuhack kuwachanganya viongozi wa Israel,wanajeshi na Raia mfano mifumo ya kutoa taarifa na ving'ora na app za kutoa tahadhari zilionekana zikitoa taarifa za kuchanganya na kukanganya watu kuhusu ujio wa makombora ya Iran.

Tisa,Wengi walitarajia kabisa kuwa shambulizi la Iran litakuja baada ya ijumaa baada kutangazwa kuwa ayatollah atatoa tamko rasmi, hii ilitangazwa ili kuwafanya waisrael na serikali yao idhanie kuwa Iran italipiza labda hadi ayatollah atoe tamko ijumaa au tangazo,lakini hii ilifanywa kuwageuza fikra wawaze ijumaa badala ya kuwaza leo.

Kumi, Shambulizi hili ni ushindi mkubwa kwa Iran na washirika wake kwenye eneo hili shambulizi litaingia kwenye rekodi za dunia kuwa ni operesheni kubwa zaidi dhidi ya Israel kuwahi kufanikiwa zaidi katika historia ya Dunia kwani kurusha makombora halafu yakapenya kwa ufanisi wa Asilimia 90-95 sio jambo dogo kwa nchi iliyo na mifumo mizuri ya anga kama ya Israel

HITIMISHO: Shambulizi hili limeonyesha udhaifu mkubwa wa Israel, Israel imeonekana kama Chui wa karatasi tu (paper tiger) ikimaanisha Israel bila marekani au ulaya hawezi kusavaivu kabisa.

PIA SOMA
- Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia
Ulichoandika hapo ni muhemko Ila sio kama ilivyo!

Kama Marekani alishatoa hiyo taarifa Ina maana Israel aliji@ndaa!
 
Hayo mambo 10 umegundua ukiwa kusini mwa jangwa la Sahara? Hahaha
 
Mtalia na Hakuna atakayewafuta machozi. Maana hatakuwepo wa kuwahurumia
 
Vita ya Tatu ya dunia inanukia. Kama nchi za Russia, China, USA, UK, na zingine zitaingilia kusaidia upande wao vita itakuwa kubwa sana.
 
Russia vita alivyonavyo vinamtosha, China hana time na vita, UK yupo kama hayupo.

USA hana mchongo mwingine tofauti na vita.
 
Yaani haya mambo mnayafanya kama propaganda za CCM. Mimi nimeona BBC wamesema mapema kwamba Iran wana mpango wa kuishambulia Israel. Najua mna shauku sana kusikia kuna kidume kimeipiga Israel. Israel akijibu mashambulizi ya kiwango sawa na haya ya Iran utasikia maafa mkubwa sana huko Iran. Tusubiri najua mtaanza kulialia tena...
samahani shabiki wa vita naomba kuuliza uhusiano wako ni upi kati ya hao wayahudi na wapalestina?
 
Back
Top Bottom