Uchambuzi: Mambo 10 na kwanini shambulizi la Iran limefanikiwa kwa asilimia 100%

Uchambuzi: Mambo 10 na kwanini shambulizi la Iran limefanikiwa kwa asilimia 100%

Netanyau na Zeresk ni wajinga Kwa kukubali nchi zao kuwa uwanja wa vita Kwa manufaa ya Marekani na uingereza

Na ndio maana Marekani na uingereza wanapromoti ushoga wanajua mkishakuwa mashoga wanakuamrisheni tu mfanye wanacho taka wao
 
Kitu kimoja ambacho hamkijui nyinyi wafia dini wa kiislamu na wa kikristu ni hivi; washirika wakuu wa iran ni china na urusi na washirika wakuu wa israel ni marekani,uingereza,ujerumani n.k kama urusi na uchina watamkataa mu iran atachapika vibaya mno ila kama urusi na uchina watasimama na muirani vita itakuwa ngumu sana pale syria mrusi alipokaa nyuma ya bashar al assad na akafunga s sytem mmarekani alitaka kulia.
 
Na nnawahakikishia nyie wafia dini mlioko humu ndani hakuna vita yoyote itakayopiganwa kati ya iran na israel. Bila shaka yoyote hii inaweza kusababisha vita ya tatu ya dunia na dunia haitakubali kuingia kwenye vita ya tatu ya dunia coz katika dunia hii ya leo ambapo mataifa mengi yameendelea sana kiteknolojia watu wakiamua kutumia makombora yao mazito au hata nyuklia tunaweza kushuhudia maafa makubwa ambayo hayajawahi kutokea.
 
Jamaa wanajifariji wakati % kubwa ya makombora ya Iran yameshushwa
Yani hayo makombora
-Yapo yaliyoanguka bila kulipuka.
-yapo yaliyolipuka yenyewe juu huko huko kutokana na ku over heat.
-mengi yaliaribiwa , ( kwa sababu ballistic missile ni makombola makubwa kwa umbo ukilipiga angani likilipuka vipande viaanguka chini na vinaweza kuleta madhara hata kwa watu na majengo.
- Yapo waliyoshuka chini , ila yalishuka sehemu za wazi amboko hakuna watu.
-na Yapo baadhi yameanguka sehemu yenyewe miundombinu kama barabara na baadhi ya majengo.

View: https://x.com/JewishWarrior13/status/1841213323603288487?t=DTEvKk1_RBewzibGDidvBQ&s=19
 
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Vita ya Tatu ya dunia inanukia. Kama nchi za Russia, China, USA, UK, na zingine zitaingilia kusaidia upande wao vita itakuwa kubwa sana.
 
Hizo kambi zilikua zinaishi mende na silaha tu?,kwanza ni lini wamewahi kufa wakatangaza?[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila watu Kufa hayo ndio madhara? Upuuzi
 
Unaropoka hayo wakati umelalia kitanda cha banko na kijijini kwenu huko.ambapo hata vyoo hamnaga[emoji23][emoji23]
Eti achome ndege stelth 30 maviii labda ndege joni.
 
Tulivumilia uchungu wa kujizuia kwa muda, lakini tuliona kwamba hawabadili mtazamo wao kwa bora; ikiwa watafanya hatua zozote za ziada zisizo sahihi, tutajibu kwa ukali zaidi. Ikitokea hivyo, tutaharibu miundombinu yao!”
- Meja Jenerali Mousavi
 
Back
Top Bottom