Hela katafuta mwenyewe kwanini unampangia ku-spend.?
Iwe ni show off iwe ni ulinzi what business is it of you?
Acha kutetea ujinga wewe ,.
Bil Gate ana hela ila hawezi fanya show off za kijinga kama hizo.
Mshauri huyo dogo kama ana hela afanye uwekezaji wa maana hizi show off za kijinga ni matumizi mabaya ya fedha.
hawa hawa ndio kesho na keshokutwa anaugua kidogo anaanza kuchangisha watu fedha za matibabu.
hayo anayoyafanya ni matumizi mabayu ya fedha.
Sijui huyo dogo ana hela kiasi gani, ila mimi mwenyewe nina hela na kuna kampuni ya ulinzi nimeipa kazi ya kulinda Mali zangu pamoja na kunilinda mimi.
mimi binafsi ninalindwa sanasana usiku nikiwa nimelala nyumbani kwangu ninapoishi (nyumba yangu nimejenga) , mchana kwenye mishemishe zangu sina mlinzi na ikiwa kama kuna ishu nataka kufanya nikiwa na wasiwasi natafuta kampani ya mshkaji,
ila muda wote sikosi bastola karibu yangu.
WASHAURINI HAO VIJANA WATUMIE HELA ZAO VIZURI INAKUWA KAMA HAWANA UCHUNGU NA JASHO LAO WAKIYUMBA KIDOGO TU WANAOMBA MSAADA
HALAFU MASIFA YOTE HAYO ANAISHI NYUMBA YA KUPANGA anazidiwa hadi na malaya shishi,
PUMBAVU ZENU KABISA PAMOJA NA WEWE UNAYETETEA UPUUDHI