Uchambuzi: Ni mjinga tu ataamini Simba wata droo au kuifunga Al ahly

Huwa nashangaa hawa mashabiki wanavyojitoa ufahamu.....kuwashabikia mamelodi....huku wao wakidhani wao washamaliza kazi
 
Mara ya mwisho na rabiri zako uliombwa upigwe ban, sasa hivi huna maombi?
 
Basi na mimi nitakuwa mjinga tu!

Maana naamini Simba atawafunga Hal Hail, halafu na Yanga atawafunga Main load.

Hapo vipi, nimekuwa mjinga maradufu au?
 
Basi na mimi nitakuwa mjinga tu!

Maana naamini Simba atawafunga Hal Hail, halafu na Yanga atawafunga Main load.

Hapo vipi, nimekuwa mjinga maradufu au?
Ujinga wako ni mmoja tu, upande wa mbumbumbu fc umechemka, unaanzaje kuwapa ushindi thimba timu bomu, timu haina namba 9? Watamfungaje sasa Al Ahly, kidume wao wa Super Cup?

Upande wa pili umepatia sana kabisa kusema Yanga itaibomoa Mamaload , home and away !! Mechi ukiona Ki,Max,Pacome,Mudathir na Aucho wote wako uwanjani ujue mtu lazima auwawe na kuliwa na manyoya yake!
 
Ahaaaa, kumbe wewe unawakandia tu mnyama Simba.
 
Huyu Percy Tau mbona mnakuza Sana? Kwa Sasa Percy ni mchezaji wa kawaida tu.
 
Basi na mimi nitakuwa mjinga tu!

Maana naamini Simba atawafunga Hal Hail, halafu na Yanga atawafunga Main load.

Hapo vipi, nimekuwa mjinga maradufu au?
Kwa Yanga ... everything is possible
 
Huyu Percy Tau mbona mnakuza Sana? Kwa Sasa Percy ni mchezaji wa kawaida tu.
Ofcourse ni wa kawaida akikutana na timu yenye spidi.....but akikutana na timu slow Kam Simba basi Huwa ni kiumbe kikatili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…