Uchambuzi:Sifa za wanaotajwa kuwa mmoja atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Uchumi TV

Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
33
Reaction score
31
Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa.

1.Paul Kimiti
2.Abdulah Bulembo
3.Mizengo Pinda
4.Dr Bashiru Ally Kakurwa
5.Yusuph Makamba
6.Frederick Sumaye
7..Dr Asharose Migiro
8.Anna Makinda
9.Steven Wassira
10.Abdulahman Juma
11.William Lukuvi

Kuhusu uchambuzi wa kila mmoja kama una MBS tazama uchambuzi huu.

View: %20media=%22youtube:xVWh_Vzirgk%22%5Dhttps://youtu.be/xVWh_Vzirgk
 
Mi sio mvaa shati au upande wa sultan hilo nili weke wazi, ila kati ya hao Bora nichague nazi
EB1a2SzUcAANopf.jpg
 
Unataka kutrendisha jambo la ccm lilopooza kwa kumezwa na jambo la chadema linalochangamsha na kusisimua umma? Media zote coverage yao ni kule kwa chadema. Ccm wamebugu step kuleta tukio lao katikati ya jambo la chadema. Sijui kama wamefanya hivyo kwa makusudi au vipi, wanachanganya wananchi wafuatilie wapi penye vibe kubwa lenye msisimko, bila shaka ni kwa chadema tu huku wakiacha jambo la ccm likidoda
 
Acheni wazee wapumzike na kulea wajukuu na vitukuu vyao. Mtu ana miaka 80 kwa nini asumbuliwe hadi sasa kana kwamba hakuna damu mpya awezaye kuyaendeleza yale yanayotakiwa katika Karne hii?
 
Mzee tupatupa wa Lumumba yupo wapi Siku hizi, angetupa update, au katumbuliwa
 
Hivi aliyemwekea sumu Mzee Mangula alipatikana ?
 
Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa.

1.Paul Kimiti
2.Abdulah Bulembo
3.Mizengo Pinda
4.Dr Bashiru Ally Kakurwa
5.Yusuph Makamba
6.Frederick Sumaye
7..Dr Asharose Migiro
8.Anna Makinda
9.Steven Wassira
10.Abdulahman Juma
11.William Lukuvi

Kuhusu uchambuzi wa kila mmoja kama una MBS tazama uchambuzi huu.

View: %20media=%22youtube:xVWh_Vzirgk%22%5Dhttps://youtu.be/xVWh_Vzirgk

Toa wanawake hapo.... wanawake hawapendani
 
Dr Bashiru kakurwa was Kemundo kule anatufaa kabisa!!

Atasaidia kuchukua Dola Kwa kutumia dola kama alivyosema tangu zamani!!
 
Unataka kutrendisha jambo la ccm lilopooza kwa kumezwa na jambo la chadema linalochangamsha na kusisimua umma? Media zote coverage yao ni kule kwa chadema. Ccm wamebugu step kuleta tukio lao katikati ya jambo la chadema. Sijui kama wamefanya hivyo kwa makusudi au vipi, wanachanganya wananchi wafuatilie wapi penye vibe kubwa lenye msisimko, bila shaka ni kwa chadema tu huku wakiacha jambo la ccm likidoda
Tanzania are saddists…. What makes chakademus trend ni jinsi wanavyovuana nguo

But stability is sasa ya chama dume is next to none

Na makamu atakua kijana, no one would expect
 
Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa.

1.Paul Kimiti
2.Abdulah Bulembo
3.Mizengo Pinda
4.Dr Bashiru Ally Kakurwa
5.Yusuph Makamba
6.Frederick Sumaye
7..Dr Asharose Migiro
8.Anna Makinda
9.Steven Wassira
10.Abdulahman Juma
11.William Lukuvi

Kuhusu uchambuzi wa kila mmoja kama una MBS tazama uchambuzi huu.

View: %20media=%22youtube:xVWh_Vzirgk%22%5Dhttps://youtu.be/xVWh_Vzirgk

Kheee..!! Kuna mtu bado YUPO
 
Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa.

1.Paul Kimiti
2.Abdulah Bulembo
3.Mizengo Pinda
4.Dr Bashiru Ally Kakurwa
5.Yusuph Makamba
6.Frederick Sumaye
7..Dr Asharose Migiro
8.Anna Makinda
9.Steven Wassira
10.Abdulahman Juma
11.William Lukuvi

Kuhusu uchambuzi wa kila mmoja
Huyo Sumaye alishakatika mkia, umesahau msemo wa Rais wa awamu ya 5 ndugu? Sidhani kama watakubali kumpa hicho kiti, wakati hana mkia.
 
Back
Top Bottom