Uchambuzi:Sifa za wanaotajwa kuwa mmoja atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Uchambuzi:Sifa za wanaotajwa kuwa mmoja atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Kwa Sisiemu inavyojulikana, hapo hakuna namba itatoka. Subirini jina jipya kabisa ndipo mtashangaa!
 
KIgezo kikubwa ni uzee?, jana nimesoma mahali mzee Kimiti anatimiza 85 yrs....
 
HUyo wasila mzee wa kuuchapa usingizi bungeni anataka nini tena.
Huyo pinda kapinda akacheze na wajukuu kwake na makinda pia.

Hapo twende na tibaijuka tu mama mwenye pesa mingi mjini kagera
 
Acheni wazee wapumzike na kulea wajukuu na vitukuu vyao. Mtu ana miaka 80 kwa nini asumbuliwe hadi sasa kana kwamba hakuna damu mpya awezaye kuyaendeleza yale yanayotakiwa katika Karne hii?
Eti Paul Kimiti na Yusufu Makamba nao wamo?

Yani hawa wazee hata kumbukumbu zao bado ziko sawa kweli?

Hawa wanatakuwa kucheza na vitukuu sasa, maana mpaka wajukuu wao washaanza kupata watoto.
 
Bashiru Ally atakuwa pigo kwa Samia. Ya Mbowe na Lissu yatatokea.
 
Tanzania are saddists…. What makes chakademus trend ni jinsi wanavyovuana nguo

But stability is sasa ya chama dume is next to none

Na makamu atakua kijana, no one would expect
Umehisi kama nilivyohisi tokea nilipoona tangazo la chama juu ya mkutano mkuu.
 
Hii filamu ya upande huu sio nzuri sana kama ile nyingine. Ile imenoga sana. Inavutia.
Yani akili inafanya kazi
Utafikiri squid game kabisa
 
Back
Top Bottom