Toa wanawake hapo.... wanawake hawapendaniWanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa.
1.Paul Kimiti
2.Abdulah Bulembo
3.Mizengo Pinda
4.Dr Bashiru Ally Kakurwa
5.Yusuph Makamba
6.Frederick Sumaye
7..Dr Asharose Migiro
8.Anna Makinda
9.Steven Wassira
10.Abdulahman Juma
11.William Lukuvi
Kuhusu uchambuzi wa kila mmoja kama una MBS tazama uchambuzi huu.
View: %20media=%22youtube:xVWh_Vzirgk%22%5Dhttps://youtu.be/xVWh_Vzirgk
Tanzania are saddists…. What makes chakademus trend ni jinsi wanavyovuana nguoUnataka kutrendisha jambo la ccm lilopooza kwa kumezwa na jambo la chadema linalochangamsha na kusisimua umma? Media zote coverage yao ni kule kwa chadema. Ccm wamebugu step kuleta tukio lao katikati ya jambo la chadema. Sijui kama wamefanya hivyo kwa makusudi au vipi, wanachanganya wananchi wafuatilie wapi penye vibe kubwa lenye msisimko, bila shaka ni kwa chadema tu huku wakiacha jambo la ccm likidoda
Kijana anakujaHapo ni William Lukuvi tu, tumemaliza.
Kheee..!! Kuna mtu bado YUPOWanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa.
1.Paul Kimiti
2.Abdulah Bulembo
3.Mizengo Pinda
4.Dr Bashiru Ally Kakurwa
5.Yusuph Makamba
6.Frederick Sumaye
7..Dr Asharose Migiro
8.Anna Makinda
9.Steven Wassira
10.Abdulahman Juma
11.William Lukuvi
Kuhusu uchambuzi wa kila mmoja kama una MBS tazama uchambuzi huu.
View: %20media=%22youtube:xVWh_Vzirgk%22%5Dhttps://youtu.be/xVWh_Vzirgk
Huyo Sumaye alishakatika mkia, umesahau msemo wa Rais wa awamu ya 5 ndugu? Sidhani kama watakubali kumpa hicho kiti, wakati hana mkia.Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa.
1.Paul Kimiti
2.Abdulah Bulembo
3.Mizengo Pinda
4.Dr Bashiru Ally Kakurwa
5.Yusuph Makamba
6.Frederick Sumaye
7..Dr Asharose Migiro
8.Anna Makinda
9.Steven Wassira
10.Abdulahman Juma
11.William Lukuvi
Kuhusu uchambuzi wa kila mmoja