Uchambuzi: Simba atafungwa Wydad kwa makosa madogo

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam Wana jf

Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF Kila nikijaribu kuitazama kiundani hii mechi ya Simba vs Wydad....naona ngoma ngumu
Nmejaribu hata kubashiri Kwa kutumia science ya asili bado mitambo inafeli .....but Kwa kutumia experience ya timu ya simba mwaka huu haya ni mambo yatakayotokea

1.Game itakuwa ni [emoji91] hivyo pia pressure itakuwa kubwa kama fainali Kwa timu zote mbili hivyo basi wydad watatengeneza makosa Kwa Simba ( ikiwemo kujiangusha) Ili wapate penalty/ free kick na kufunga

2. Timu ya Simba itaangushwa na umakini wa wafungaji ie baleke chances 6......goal0. .....pia waydad watacheza pira spidi na kuwafanya Simba kufanya makosa

3. Uzoefu utawabeba wydad....kama unabisha ...rejea mechi ya kwanza ya Simba vs Wydad

NB: kiukweli mechi itakuwa nzito sana Kwa timu zote mbili that's y nmeshindwa hata kubashiri matokeo.....ila wydad watashinda Kwa janja janja
 
Simba wakifungwa tu kwenye hiyo mechi, basi na safari yao itaishia hapo hapo. Kiufupi hawana tofauti na kaka zao Yanga.
 
Hii game ipo too tactical sana na game zote 3 simba alizocheza na waarabu wamefungwa wakiwa wamezubaa including mbabe wa Cairo not kiuwezo wakuchezea mpira wakiondoa hilo lakizubaa na kusoma hatari they will win,kingine nikua clinical wanapopata nafasi mfano game ya Galaxy walikua na uwezo wakufunga hata goli 3 if they were more clinical
 
Kabisa mkuu.... kikubwa umakini..... Phil inabidi aanze
 
Salaam Wana jf

Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF Kila nikijaribu kuitazama kiundani hii mechi ya Simba vs Wydad....naona ngoma ngumu
Nmejaribu hata kubashiri Kwa kutumia science ya asili bado mitambo inafeli .....but Kwa kutumia experience ya timu ya simba mwaka huu haya ni mambo yatakayotokea

1.Game itakuwa ni [emoji91] hivyo pia pressure itakuwa kubwa kama fainali Kwa timu zote mbili hivyo basi wydad watatengeneza makosa Kwa Simba ( ikiwemo kujiangusha) Ili wapate penalty/ free kick na kufunga

2. Timu ya Simba itaangushwa na umakini wa wafungaji ie baleke chances 6......goal0. .....pia waydad watacheza pira spidi na kuwafanya Simba kufanya makosa

3. Uzoefu utawabeba wydad....kama unabisha ...rejea mechi ya kwanza ya Simba vs Wydad

NB: kiukweli mechi itakuwa nzito sana Kwa timu zote mbili that's y nmeshindwa hata kubashiri matokeo.....ila wydad watashinda Kwa janja janja
Huna umahiri wowote zaidi ya unazi wa utopoloni!! Ndio maana hujarudi hapa baada ya dk 90.
 
Salaam Wana jf

Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF Kila nikijaribu kuitazama kiundani hii mechi ya Simba vs Wydad....naona ngoma ngumu
Nmejaribu hata kubashiri Kwa kutumia science ya asili bado mitambo inafeli .....but Kwa kutumia experience ya timu ya simba mwaka huu haya ni mambo yatakayotokea

1.Game itakuwa ni [emoji91] hivyo pia pressure itakuwa kubwa kama fainali Kwa timu zote mbili hivyo basi wydad watatengeneza makosa Kwa Simba ( ikiwemo kujiangusha) Ili wapate penalty/ free kick na kufunga

2. Timu ya Simba itaangushwa na umakini wa wafungaji ie baleke chances 6......goal0. .....pia waydad watacheza pira spidi na kuwafanya Simba kufanya makosa

3. Uzoefu utawabeba wydad....kama unabisha ...rejea mechi ya kwanza ya Simba vs Wydad

NB: kiukweli mechi itakuwa nzito sana Kwa timu zote mbili that's y nmeshindwa hata kubashiri matokeo.....ila wydad watashinda Kwa janja janja
0bb5a1d41940611253e18d456668e96c.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf wanaachaje mijitu kama hii kupost upuuzi kila siku?

Uchambuzi wa kijinga kabisa
 
Back
Top Bottom