SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Aibu mnaipata leo au kesho ( maana uwanja umejaa maji)nyie watopoloKwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz
Hasara
Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha
Hongereni Kwa kaushindi
View attachment 2557721
Hivi kwani nyie hiyo Loosers cup mushachukua maana naona uko bize na Simba tu kana uto hamna shughuli yoyote, hii kiataalamu inaitwaje?Kwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz
Hasara
Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha
Hongereni Kwa kaushindi
View attachment 2557721
Wananchiiii watashinda mkuuWacha wakaingie aibu kama hawajajipanga lazima wapigwe ila kwa jana japo sina ushabiki wa hizi timu goli saba hata kama mko less motivated bado sio sababu ya kuruhusu 7 mnajishusha thamani ingekua hivyo wangeruhusu hata moja au mbili bas. Muda mwingine kumbukeni kutambua juhudi fulani kwa sasa yanga wako njema ila simba nae anacheza na anaweza fika mbali japo sio rahisi. Leo yanga nawaombea washunde ili kesho kusiwe na anaetamba kusininda mwingine
Na sipingi wananchi au simba kushinda kimataifa hiyo inakua sifa kwetu sisi mfano jana lazima duniani kwenye michezo wamepata habari za goli 7 from tz na leo yanga wawafumue watu hata goli 10 ili tuendelee kuzungumziwa zaidiWananchiiii watashinda mkuu
Hakika mkuuNa sipingi wananchi au simba kushinda kimataifa hiyo inakua sifa kwetu sisi mfano jana lazima duniani kwenye michezo wamepata habari za goli 7 from tz na leo yanga wawafumue watu hata goli 10 ili tuendelee kuzungumziwa zaidi
Sisi kazi yetu ni kuuchambua mpira ....na kufanya uwe boraHivi kwani nyie hiyo Loosers cup mushachukua maana naona uko bize na Simba tu kana uto hamna shughuli yoyote, hii kiataalamu inaitwaje?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hata kama mpira unadunda lkn ndoto hizo achana Nazo mkuu.. ...hatuna kikosi Cha kutufikisha hukoUtopolo bhana,bado mnakuwa kama witch doctor kazi kupiga ramli kuwa Simba hatoboi Quarter Final.Endeleeni kuhamisha magoli tukitoboa Robo Fainali kwenda Nusu Fainali muendelee na utabiri wenu usiozingatia takwimu Bali akili za kushikiwa za wachambuzi maandazi
Kuhusu kufika golini sio excuse ya defend hoja .......lazima tuonyeshe kuwa tupo uwanjani .....
Kuhusu kuwaita kina kapombe pembeni
Issue ni simple...... Ubovu
Broo hiyo ni champions league inabidi uelewe..timu zote ni kubwa lolote linaweza kutokeaMpira una maajabu ......Raja aliyempiga 3 kolo. Ndiye huyu aliye droo na viper ...