SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Aibu mnaipata leo au kesho ( maana uwanja umejaa maji)nyie watopoloKwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz
Hasara
Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha
Hongereni Kwa kaushindi
View attachment 2557721
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app