Uchambuzi: Simba huko robo fainali tujiandae kupata aibu

Uchambuzi: Simba huko robo fainali tujiandae kupata aibu

Kwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz

Hasara

Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha

Hongereni Kwa kaushindi
View attachment 2557721
Aibu mnaipata leo au kesho ( maana uwanja umejaa maji)nyie watopolo

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz

Hasara

Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha

Hongereni Kwa kaushindi
View attachment 2557721
Hivi kwani nyie hiyo Loosers cup mushachukua maana naona uko bize na Simba tu kana uto hamna shughuli yoyote, hii kiataalamu inaitwaje?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni kweli kwamba yanga wenye akili wako wawili eeh???sa hii ndo nini??
 
Wacha wakaingie aibu kama hawajajipanga lazima wapigwe ila kwa jana japo sina ushabiki wa hizi timu goli saba hata kama mko less motivated bado sio sababu ya kuruhusu 7 mnajishusha thamani ingekua hivyo wangeruhusu hata moja au mbili bas. Muda mwingine kumbukeni kutambua juhudi fulani kwa sasa yanga wako njema ila simba nae anacheza na anaweza fika mbali japo sio rahisi. Leo yanga nawaombea washunde ili kesho kusiwe na anaetamba kusininda mwingine
Wananchiiii watashinda mkuu
 
Mnajua ukweli gani nyie mwanzo mlisema hatutoingia robo fainali lakini tumeingia kibabe kwa kumchabanga mtu goli 7 bila na subirini mshuhudie mwingine akitandikwa goli 8 kwenye robo fainali.
Mme shaumaliza MWENDO mkuu
 
Wananchiiii watashinda mkuu
Na sipingi wananchi au simba kushinda kimataifa hiyo inakua sifa kwetu sisi mfano jana lazima duniani kwenye michezo wamepata habari za goli 7 from tz na leo yanga wawafumue watu hata goli 10 ili tuendelee kuzungumziwa zaidi
 
Hakika mkuu
 
Utopolo bhana,bado mnakuwa kama witch doctor kazi kupiga ramli kuwa Simba hatoboi Quarter Final.Endeleeni kuhamisha magoli tukitoboa Robo Fainali kwenda Nusu Fainali muendelee na utabiri wenu usiozingatia takwimu Bali akili za kushikiwa za wachambuzi maandazi
Hata kama mpira unadunda lkn ndoto hizo achana Nazo mkuu.. ...hatuna kikosi Cha kutufikisha huko
 
Timu ikifanya vizuri ni uungwana kuipongeza hiyo tabia ya kudiss kila kitu ni uchoko aka uchokoz
 
Hata wakipata aibu lakini lengo lao la kufika robo fainali wamelifikia.
 
Back
Top Bottom