Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Mpira naujua mkuu[emoji23][emoji23]Hujakoma bado?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira naujua mkuu[emoji23][emoji23]Hujakoma bado?
Tushawazoea, mnajua kuomba msamaha sanaKwema wakuu
Baada ya kufanya uchambuzi wa kina nimegundua yafuatayo
Yanga inakikosi Bora sana ( Galacticos) ....hiki ni kikosi Bora sana kuwahi kuwepo hapa baraani Africa hivyo basi hakuna timu inaweza kuifunga
Yanga Ina wachezaji wenye match fitness 100% kiasi Kwamba wao Hadi mwisho wa mchezo Wana Kasi na nguvu tofauti na timu ya Simba
Yanga wanajituma sana
Kikosi cha Yanga kina wachezaji wenye morali kubwa ya kupambana uwanjani tofauti na Simba
Hivyo basi Kwa uchambuzi huu naamini kuwa Simba atakandwa heavily 4_0 na Yanga
NB @moderators kama Simba ataifunga yanga basi Kwa akili zangu timamu ....naomba nipigwe ban ya wiki Moja Ili niwe responsible Kwa uchambuzi wangu
View attachment 3128433
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
AaahaaWewe kunasiku utakuja pigwa ban ya maisha...maana ushaweka mchezo huo
Ana akaunti nyingine huyoUnazipenda ban
Sijawahi kuona kipindi cha game ya yanga na simba ,yanga wakiangaika kama hiki🤔Mwanaume wa hivi hapana aisee....🙌🙌🙌🙌
Umeona ee kuna kitu hakiko sawa...kuna kitu sio buree...😊😊😄😄😄😄Sijawahi kuona kipindi cha game ya yanga ya simba ,yanga wakiangaika kama hiki🤔
Mimi mwenyewe naona wanaangaika kama kuku anatafuta pa kutagia😁😁Umeona ee kuna kitu hakiko sawa...kuna kitu sio buree...😊😊😄😄😄😄
Hapo hapo wanajinasibu wana kikosi kizuri..si watulieee...Mimi mwenyewe naona wanaangaika kama kuku anatafuta pa kutagia😁😁
Wafuatao ni majeruhi na Kesho hawatakuwa sehemu ya mchezo:
1. Kharid Aucho
2. Ibrahim Hamad Bacca
3. Dickson Job
Hapo hapo wanajinasibu wana kikosi kizuri..si watulieee...
Usije na wewe kuahidi hatutavumilia kuacha kukuona humu😅LABAN og katika 1 na 2 😅😅😅😅 kama kawa nakuunga mkono mpaka upate life ban.
Sisi 3 wao labda 1 au 0.
#Yangadaimambelenyumamwiko#
#Yangasince1935#
🟨🟩🟡🟢
Nadhan ni wakat wa kupelekwa kwa PdidyKwema wakuu
Baada ya kufanya uchambuzi wa kina nimegundua yafuatayo
Yanga inakikosi Bora sana ( Galacticos) ....hiki ni kikosi Bora sana kuwahi kuwepo hapa baraani Africa hivyo basi hakuna timu inaweza kuifunga
Yanga Ina wachezaji wenye match fitness 100% kiasi Kwamba wao Hadi mwisho wa mchezo Wana Kasi na nguvu tofauti na timu ya Simba
Yanga wanajituma sana
Kikosi cha Yanga kina wachezaji wenye morali kubwa ya kupambana uwanjani tofauti na Simba
Hivyo basi Kwa uchambuzi huu naamini kuwa Simba atakandwa heavily 4_0 na Yanga
NB @moderators kama Simba ataifunga yanga basi Kwa akili zangu timamu ....naomba nipigwe ban ya wiki Moja Ili niwe responsible Kwa uchambuzi wangu
View attachment 3128433
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yanga atashinda Kwa kishindoUmeshatutia nuksi wana Yanga