Kwema wakuu
Baada ya kufanya uchambuzi wa kina nimegundua yafuatayo
Yanga inakikosi Bora sana ( Galacticos) ....hiki ni kikosi Bora sana kuwahi kuwepo hapa baraani Africa hivyo basi hakuna timu inaweza kuifunga
Yanga Ina wachezaji wenye match fitness 100% kiasi Kwamba wao Hadi mwisho wa mchezo Wana Kasi na nguvu tofauti na timu ya Simba
Yanga wanajituma sana
Kikosi cha Yanga kina wachezaji wenye morali kubwa ya kupambana uwanjani tofauti na Simba
Hivyo basi Kwa uchambuzi huu naamini kuwa Simba atakandwa heavily 4_0 na Yanga
NB @moderators kama Simba ataifunga yanga basi Kwa akili zangu timamu ....naomba nipigwe ban ya wiki Moja Ili niwe responsible Kwa uchambuzi wangu
View attachment 3128433
Sent from my TECNO KG5j using
JamiiForums mobile app