Uchambuzi: Simba ikimfunga Yanga nipigwe ban wiki

Kwema wakuu

Baada ya kufanya uchambuzi wa kina nimegundua yafuatayo

Yanga inakikosi Bora sana ( Galacticos) ....hiki ni kikosi Bora sana kuwahi kuwepo hapa baraani Africa hivyo basi hakuna timu inaweza kuifunga

Yanga Ina wachezaji wenye match fitness 100% kiasi Kwamba wao Hadi mwisho wa mchezo Wana Kasi na nguvu tofauti na timu ya Simba

Yanga wanajituma sana
Kikosi cha Yanga kina wachezaji wenye morali kubwa ya kupambana uwanjani tofauti na Simba

Hivyo basi Kwa uchambuzi huu naamini kuwa Simba atakandwa heavily 4_0 na Yanga

NB @moderators kama Simba ataifunga yanga basi Kwa akili zangu timamu ....naomba nipigwe ban ya wiki Moja Ili niwe responsible Kwa uchambuzi wangu

View attachment 3128433

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwanini ujipangie muda wa ban na wakati ni usumbufu kila mara unakula ban hausikii.

Moderator , this time please do the needful. Kama adhabu nia yake ni kukomesha. We lima huyu mtu ban ya maana iwe fundisho.
 
Kwema wakuu

Baada ya kufanya uchambuzi wa kina nimegundua yafuatayo

Yanga inakikosi Bora sana ( Galacticos) ....hiki ni kikosi Bora sana kuwahi kuwepo hapa baraani Africa hivyo basi hakuna timu inaweza kuifunga

Yanga Ina wachezaji wenye match fitness 100% kiasi Kwamba wao Hadi mwisho wa mchezo Wana Kasi na nguvu tofauti na timu ya Simba

Yanga wanajituma sana
Kikosi cha Yanga kina wachezaji wenye morali kubwa ya kupambana uwanjani tofauti na Simba

Hivyo basi Kwa uchambuzi huu naamini kuwa Simba atakandwa heavily 4_0 na Yanga

NB @moderators kama Simba ataifunga yanga basi Kwa akili zangu timamu ....naomba nipigwe ban ya wiki Moja Ili niwe responsible Kwa uchambuzi wangu

View attachment 3128433

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mtu na akili zako uhangaike kumfukuza mwendawasimu eti kisa amekutukana!! Kwqni unategemea nini kuitoka kwa mwendawazimu!!
 
Kuna jamaa alikuwa anapenda kusema atatembea uchi/atavua nguo. Sijui alipotelea wapi.NIMWENDO WA KUGARAGARA.
 
Kwema wakuu

Baada ya kufanya uchambuzi wa kina nimegundua yafuatayo

Yanga inakikosi Bora sana ( Galacticos) ....hiki ni kikosi Bora sana kuwahi kuwepo hapa baraani Africa hivyo basi hakuna timu inaweza kuifunga

Yanga Ina wachezaji wenye match fitness 100% kiasi Kwamba wao Hadi mwisho wa mchezo Wana Kasi na nguvu tofauti na timu ya Simba

Yanga wanajituma sana
Kikosi cha Yanga kina wachezaji wenye morali kubwa ya kupambana uwanjani tofauti na Simba

Hivyo basi Kwa uchambuzi huu naamini kuwa Simba atakandwa heavily 4_0 na Yanga

NB @moderators kama Simba ataifunga yanga basi Kwa akili zangu timamu ....naomba nipigwe ban ya wiki Moja Ili niwe responsible Kwa uchambuzi wangu

View attachment 3128433

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Moderator
 
Mods huu utoto mnaulea nyie.huyu anatakiwa ale life ban.
 
Nakusubiria hiyo kesho.
 
Matokeo.....

Makolo wamekandwa Tena .......acha niende kuangalia vilio vya makolo mtandaoni [emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom