Uchambuzi: Simba imeumaliza mwendo CAF Champions League

Hata Simba alipopoteza 5..1 na Yanga ..... Ahmed ally alisema wataitumia mechi ya namungo Ili kuleta furaha Kwa mashabiki wake ( kolos) ....lkn wali draw[emoji23][emoji23][emoji23]

Je unadhani Simba walipoteza makusudically...mechi ya Yanga Ili waje warevenge Kwa namungo????
Umenyonga mgonjwa
 
Yanga anachukua point zote 6 kwa Medeama. Sasa jumlisha na hiyo moja - kisha lete majibu.
Last Saturday kuna mjinga mmoja alitabiri kuwa Yanga atachukua point 3 kwa mwarabu, baada ya mechi kukamilika aliukana unabii wake😂😂

Naomba na wewe usiwe mjinga kama yule nabii njaa malaika wa Misukosuko.
 
Mjinga ni yule anaeamini kuwa Yanga hatokwenda robo fainali.
 
Hiyo title nikajua ndani umeshusha sababu za kiufundi mujarabu kwa nini simba imeumaliza mwendo. Kumbe umeishia kutoa sababu za kihisia na kishabiki kama ilivo kawaida yako
Mi mwenyewe nimeshangaa kweli, kichwa cha habari kikuubwa alafu ndani nothing makes sense!
 
Mchezaji anatamba ligi ya Rwanda unamsajili! Onana ni average player kuna wazawa kibao mfano Iddi Nado ni bora kwa mbali sana.

Simba tatizo ni viongozi, hata timu ku drop uwezo, moja ya sababu ni viongozi kuto analyse maendeleo ya timu. Fitness ipo chini lakini hawakuhoji na kuchukua hatua! Viongozi wanabwaga timu kwa kocha alafu hawafatili vitu basic vya day to day performance.

Goli tano za Yanga ndio zimewatoa usingizi while timu muda mrefu haieleweki.
 
Viongozi wao waendelee kudumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo Umeyasema wewe bwashee. Unalazimisha kutuaminisha upumbavu wako Who are you by then?! Unashiba maharage unakuja hapa jf unaandika mashudu. Muda utaongea tuliza hicho kiharage
Nyie ndio mlitakiwa kuhamia Burundi [emoji23]
 
Wakati huo yanga anaongoza group lenye al ahly wananchi oyeee.
 
Hiyo title nikajua ndani umeshusha sababu za kiufundi mujarabu kwa nini simba imeumaliza mwendo. Kumbe umeishia kutoa sababu za kihisia na kishabiki kama ilivo kawaida yako
Hana sababu hyo kila siku analeta porojo.
 
Back
Top Bottom