Umenyonga mgonjwaHata Simba alipopoteza 5..1 na Yanga ..... Ahmed ally alisema wataitumia mechi ya namungo Ili kuleta furaha Kwa mashabiki wake ( kolos) ....lkn wali draw[emoji23][emoji23][emoji23]
Je unadhani Simba walipoteza makusudically...mechi ya Yanga Ili waje warevenge Kwa namungo????
Last Saturday kuna mjinga mmoja alitabiri kuwa Yanga atachukua point 3 kwa mwarabu, baada ya mechi kukamilika aliukana unabii wake😂😂Yanga anachukua point zote 6 kwa Medeama. Sasa jumlisha na hiyo moja - kisha lete majibu.
Mjinga ni yule anaeamini kuwa Yanga hatokwenda robo fainali.Last Saturday kuna mjinga mmoja alitabiri kuwa Yanga atachukua point 3 kwa mwarabu, baada ya mechi kukamilika aliukana unabii wake😂😂
Naomba na wewe usiwe mjinga kama yule nabii njaa malaika wa Misukosuko.
Mi mwenyewe nimeshangaa kweli, kichwa cha habari kikuubwa alafu ndani nothing makes sense!Hiyo title nikajua ndani umeshusha sababu za kiufundi mujarabu kwa nini simba imeumaliza mwendo. Kumbe umeishia kutoa sababu za kihisia na kishabiki kama ilivo kawaida yako
Na medeama anachukua point 6 kwa utopongo ,sasa jumlisha hzo point za medeama kisha lete majibuYanga anachukua point zote 6 kwa Medeama. Sasa jumlisha na hiyo moja - kisha lete majibu.
nasikia training ground onana wa moto balaa, akiwa kwenye mech anasahau mpira.Hii Simba ya kina onana
Amejaa kwenye mtegoDaaaah! Naona umejijibu mwenyewe!
tukutane mwezi wa pili acha mbwembweMjinga ni yule anaeamini kuwa Yanga hatokwenda robo fainali.
Viongozi wao waendelee kudumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchezaji anatamba ligi ya Rwanda unamsajili! Onana ni average player kuna wazawa kibao mfano Iddi Nado ni bora kwa mbali sana.
Simba tatizo ni viongozi, hata timu ku drop uwezo, moja ya sababu ni viongozi kuto analyse maendeleo ya timu. Fitness ipo chini lakini hawakuhoji na kuchukua hatua! Viongozi wanabwaga timu kwa kocha alafu hawafatili vitu basic vya day to day performance.
Goli tano za Yanga ndio zimewatoa usingizi while timu muda mrefu haieleweki.
Hayo Umeyasema wewe bwashee. Unalazimisha kutuaminisha upumbavu wako Who are you by then?! Unashiba maharage unakuja hapa jf unaandika mashudu. Muda utaongea tuliza hicho kiharageVijana kama wewe ni hasara Kwa taifa
Hana sababu hyo kila siku analeta porojo.Hiyo title nikajua ndani umeshusha sababu za kiufundi mujarabu kwa nini simba imeumaliza mwendo. Kumbe umeishia kutoa sababu za kihisia na kishabiki kama ilivo kawaida yako