Uchambuzi: Simba imeumaliza mwendo CAF Champions League

Mjinga ni yule anaeamini kuwa Yanga hatokwenda robo fainali.
Group la Yanga limekaa vizuri sana yeyote anaenda robo! Yaani timu zote 4 zina nafasi ya kwenda robo! Hata kama Al Ahly atagawana point na CR Belouizdad bado nafasi ipo!
 
huyo kibonde nae anajipigia wydad. Ila kwa simba hamtaki
 

Attachments

  • Screenshot_20231206_211431_Sofascore.jpg
    57 KB · Views: 3
Kwenye hiyo picha...

Hapo Ahmed ally alikuwa anasema alikuwa ananyang'anyana na wazingi Onana gani? Huyu mwenye vidreads na machepele mengi yasiokuwa na msaada wowote kwa timu??

Kama Onana mwenyewe ndio huyu anayechezea Simba, basi hao wazungu hawana akili hata kidogo.
 
Ndio huyu huyu ....kolo walipewa connection na etoo
 
Hiyo title nikajua ndani umeshusha sababu za kiufundi mujarabu kwa nini simba imeumaliza mwendo. Kumbe umeishia kutoa sababu za kihisia na kishabiki kama ilivo kawaida yako
Visababu vya kichawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…