Mimi nimeanza kufunga leo kutokunywa vodka yangu pendwa wala chochote mpaka Jumatano.
Mungu akubariki.
Mungu mbariki mleta uchambuzi SHANTI.
Mungu wabariki Watanzania wanaoitakia mema Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania.
Babu madevu, Antiphas hawa kuwa ma Rais kwenye hii nchi wasahau. Utaona watanzania wazalendo watakachofanya kesho kutwa. Watu wapo kuhakiki majina yao kila pembe ya taifa hili.