EmmaGMangwela
Senior Member
- May 11, 2015
- 139
- 54
MTAISOMA NAMBA TU HUO NI MWANZO KIJANA ACHA KUPATA KIWEWE PICHA NDO LIMEANZA HIVYO. Pole sanamgombea huyu wa urais toka ameanza kampeni mda wote yeye amekuwa akinadi kama mpinzani kiasi kwamba mgeni akifika na kusikia kauri zake anajua huyu ni mpinzani, mala anashangaa hospital kukosa dawa kana kwamba chama chake hakiko madalakani amekuwa akiongea kwa msisitizo kuwashughurikia mafisadi kiasi kwamba hayuko madalakani, kali zaidi ameanza kutumia neno M4C Sijajua ni kuzidiwa kisiasa au ninini utasikia m4c magufuli for change sasa unajiuliza anataka mabadiliko gani huyu mtu?
Tulisema ipo siku kabla ya uchaguzi Magufuli ataungana na ukawa na kuitosa ccm, hizo ndio dalili zenyewe.
ha ha ha haSasa ana desa hadi M4C ... CCM kwishnei ... Chukua Chako Magufuli ...
mgombea huyu wa urais toka ameanza kampeni mda wote yeye amekuwa akinadi kama mpinzani kiasi kwamba mgeni akifika na kusikia kauri zake anajua huyu ni mpinzani, mala anashangaa hospital kukosa dawa kana kwamba chama chake hakiko madalakani amekuwa akiongea kwa msisitizo kuwashughurikia mafisadi kiasi kwamba hayuko madalakani, kali zaidi ameanza kutumia neno M4C Sijajua ni kuzidiwa kisiasa au ninini utasikia m4c magufuli for change sasa unajiuliza anataka mabadiliko gani huyu mtu?
MTAISOMA NAMBA TU HUO NI MWANZO KIJANA ACHA KUPATA KIWEWE PICHA NDO LIMEANZA HIVYO. Pole sana
Tupo darasani madam= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani
Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?
Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?