Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Kila siku nimejenga barabara
Kila siku unatuambia idadi ya kuku,mbwa,bata,samaki,ng'ombe,mbuzi na kondoo.
Kila siku unatuambia unawajua mafisadi ila huwataji.

TUMECHOKA! TUNATAKA UTUAMBIE MUSTAKABALI WA KATIBA YETU..HAYO YOTE UNAYOYASEMA PASIPO NA MABADILIKO YA KATBA WEWE BADO NI ZERO KWA WATANZANIA.

Tumechoka,ccm mtuachie nchi yetu watanzania tumewachoka!
 
Pia na matamasha ya mziki ya mwisho saa 12 yanatukera tafadhali sana wawaache wasani waendeleye japo adi saa 6 usiku !
 
Mgombea huyu wa urais toka ameanza kampeni mda wote yeye amekuwa akinadi kama mpinzani kiasi kwamba mgeni akifika na kusikia kauli zake anajua huyu ni mpinzani, mara anashangaa hospitali kukosa dawa kana kwamba chama chake hakiko madarakani, amekuwa akiongea kwa msisitizo kuwashughulikia mafisadi kiasi kwamba hayuko madarakani, kali zaidi ameanza kutumia neno M4C Sijajua ni kuzidiwa kisiasa au nini, utasikia m4c Magufuli for change sasa unajiuliza anataka mabadiliko gani huyu mtu?
 
mgombea huyu wa urais toka ameanza kampeni mda wote yeye amekuwa akinadi kama mpinzani kiasi kwamba mgeni akifika na kusikia kauri zake anajua huyu ni mpinzani, mala anashangaa hospital kukosa dawa kana kwamba chama chake hakiko madalakani amekuwa akiongea kwa msisitizo kuwashughurikia mafisadi kiasi kwamba hayuko madalakani, kali zaidi ameanza kutumia neno M4C Sijajua ni kuzidiwa kisiasa au ninini utasikia m4c magufuli for change sasa unajiuliza anataka mabadiliko gani huyu mtu?
MTAISOMA NAMBA TU HUO NI MWANZO KIJANA ACHA KUPATA KIWEWE PICHA NDO LIMEANZA HIVYO. Pole sana
 
Sasa ana desa hadi M4C ... CCM kwishnei ... Chukua Chako Magufuli ...
ha ha ha ha

Alianza kuomba ile POWER from kile kiitikio chetu cha PEOPLES POWER - akashindwa!!!,
sasa ameona aiombe M4C yote iwe ya kwake kabisa kabisa - wagosha inyweweee !!!!!!! Hali ni mbaaaaya!!
 
mgombea huyu wa urais toka ameanza kampeni mda wote yeye amekuwa akinadi kama mpinzani kiasi kwamba mgeni akifika na kusikia kauri zake anajua huyu ni mpinzani, mala anashangaa hospital kukosa dawa kana kwamba chama chake hakiko madalakani amekuwa akiongea kwa msisitizo kuwashughurikia mafisadi kiasi kwamba hayuko madalakani, kali zaidi ameanza kutumia neno M4C Sijajua ni kuzidiwa kisiasa au ninini utasikia m4c magufuli for change sasa unajiuliza anataka mabadiliko gani huyu mtu?

= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani

Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?

Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Alikuwa anatumwa sasa atakuwa anatuma>>...........................................
 
= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani

Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?

Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Tupo darasani madam
 
Back
Top Bottom