Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani

Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?

Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Lakini ujumbe umeupata. Mtaisoma namba october.
 
= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani

Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?

Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Weka hasira pembeni bibi yangu.Kwani we hukosei?Mbona kwenye nyuzi nyingi umekosea na kurekebishwa kwa lugha nzuri?
Sasa wewe uliyeenda shule umuhimu wa elimu yako ni upi kama unarekebisha kwa hasira na mihemko?Walimu wako walikufundisha katika hali ya hasira namna hiyo?....
Rekebisha vizuri,kwa lugha nzuri kwani hakuna mkamilifu.

Mchana mwema
 
Ukiona hivyo maana yake chagua magufuri sio ccm hayo ndio mabadiliko . sio mgombea wa warutheli anaesema mabadiliko ya reli kuwa rami
 
Anadesa kila kitu....
Magufuli naye bwana...

Sasa naamini kabisa huyu Mh ni bingwa wa kukariri kwa maana sasa majukwaani full copy and paste. No creativity at all - why why this? Are these the kind of visionery leaders we are seeking for?
 
Kinachofurahisha na kutia moyo angalau mnafahamu nini anachokiongelea.

Ukiulizwa Lowassa anaongelea nini huwezi kutoa jibu kwa sababu hawezi hata kutoa sauti achilia mbali kujenga hoja.

Kila siku hali yake kifikra na kiafya inazidi kuwa mbaya
 
Kuna kikongwe fulani humu ndani alijiapiza kuwa mahakama ya kadhi isipopitishwa yeye na CCM basi lakini cha kushangaza sasa hivi ndio kiguu na njia yeye na Magufuri sijui ndio mawazo hayohayo ya Magufuri kutojua kama yuko CCM au Ukawa.
Hao nawaona kama Bajaji si gari wala pikipiki!!
 
= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani

Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?

Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

haina haja ya kusoma kama wasomi wenyewe ndio hawa! usomi sio makalatasi na kuijua lugha usomi ni kuitendea haki elim yako kwa kuitendea haki jamii iliyokuzunguka
 
CCM wamepagawa,
kila wanapogusa wanakuta pamoto,
CCM wakitazama mbele wanapaona mbali, wakitazama nyuma wanapaona mbali yani inshort CCM wamekua headless chicken.
viva UKAWA.
 
MTAISOMA NAMBA TU HUO NI MWANZO KIJANA ACHA KUPATA KIWEWE PICHA NDO LIMEANZA HIVYO. Pole sana
Mtaisoma namba wakati atujui kusoma
Elimu mbovu,madarasa mabovu Na walimu wanawadai kitu kinachopelekea wawe walimu wabovu
 
= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani

Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?

Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Hiyo style mbona ndivyo Magufuli mwenyewe anavyoongea? Magufuli anachanganya r na l. Kwa mfano huwa anasema watanzania waishi kwa laha badala ya raha.
 
= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani

Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?

Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Wewe utakuwa hujawahi kumsikia Magufuli akiongea. Huwa nakasirika sana!
 
Kinachofurahisha na kutia moyo angalau mnafahamu nini anachokiongelea.

Ukiulizwa Lowassa anaongelea nini huwezi kutoa jibu kwa sababu hawezi hata kutoa sauti achilia mbali kujenga hoja.

Kila siku hali yake kifikra na kiafya inazidi kuwa mbaya

tunaelewa kwamba lowasa kipaumbele chake cha kwanza ni elim cha pili ni elim akijua kuwa elim ndio ufunguo wa maisha, na huya mapedrock kipaumbele chake ni sintawaangusha cha pili sintawaangusha, swala la afya anaejua huyu mtu atakufa lini ni mwenyezi Mungu pekee wala si mwanadam awaye yote na mwaka huu tumesema kama anaumwa basi akafie ikulu
 
Lazima uwe na mashaka sababu huna imani,pili wewe ni mpinzani wa mikakati ya utendaji iliofanywa na ccm miaka iliyopita,hivyo kila wasemacho huamini kwa kuwa hutambui wananchi wengine au wewe kama mwananchi una mchango katika kudumaza maendeleo kwa kutowajibika,kwa ujumla utekelezaji ni tatizo letu sote,rais hafanyi kazi peke yake!
 
Hiyo style mbona ndivyo Magufuli mwenyewe anavyoongea? Magufuli anachanganya r na l. Kwa mfano huwa anasema watanzania waishi kwa laha badala ya raha.

Nimemsikia na nimeshamtumia salaam a polish Kiswahili chake, anakera.
 
Nimemsikia na nimeshamtumia salaam a polish Kiswahili chake, anakera

Samahani , " a polish " ni nini? kiswahili au Kiswanglish? Cc. Faizafoxy
 
Back
Top Bottom