Lakini ujumbe umeupata. Mtaisoma namba october.= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani
Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?
Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani
Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?
Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Anadesa kila kitu....
Magufuli naye bwana...
= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani
Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?
Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mtaisoma namba wakati atujui kusomaMTAISOMA NAMBA TU HUO NI MWANZO KIJANA ACHA KUPATA KIWEWE PICHA NDO LIMEANZA HIVYO. Pole sana
na bado magamba mwaka huu yatakoma
= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani
Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?
Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
= kauli
= mara
= madarakani
= kuwashughulikia
= madarakani
Wewe ni Mtanzania kweli na Kiswahili ni lugha yako ya Taifa?
Unatia kinyaa jinsi unavyokiharibu Kiswahili.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kinachofurahisha na kutia moyo angalau mnafahamu nini anachokiongelea.
Ukiulizwa Lowassa anaongelea nini huwezi kutoa jibu kwa sababu hawezi hata kutoa sauti achilia mbali kujenga hoja.
Kila siku hali yake kifikra na kiafya inazidi kuwa mbaya
MTAISOMA NAMBA TU HUO NI MWANZO KIJANA ACHA KUPATA KIWEWE PICHA NDO LIMEANZA HIVYO. Pole sana
Mpe kura Magufuli hayo uliyojiuliza utapata majibu yake. Tingatinga halishindwi. Hata sisi CCM tuna imani naye. Atarekebisha kwa vile ameanza vema. Hana madeni nyuma
Wewe utakuwa hujawahi kumsikia Magufuli akiongea. Huwa nakasirika sana!
Hiyo style mbona ndivyo Magufuli mwenyewe anavyoongea? Magufuli anachanganya r na l. Kwa mfano huwa anasema watanzania waishi kwa laha badala ya raha.