Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Ha ha ha! Chezea hapa kazi tu, Tumeshamuelewa sana Magufuli, kura atapata za kutosha mpaka kupitiliza kuliko wanavyofikiri, huo ndo ukweli acheni kujitoa fahamu, EL ndo nani.... Ha ha ha ha! acha nicheke mie, yaani kiulaini kabisa ikulu njia nyeupe kwa JPM.
Uloi nga mâché68;14238835 said:Ndiyo Watanzania wameshaamua ni Magufuli tu
kwani kuna kitu gani hawajui lowassa na sumaye kuhusu tatizo la umeme nchini? tena hao ndo waanzilishi wa matatizo ya umeme nchini. au leo kwa sababu wako upinzani mnajifanya hamnazo?Mambo yote anayoyaongea ni anawahadaa wananchi, mathalan kulalamika juu ya ukosefu wa umeme Kwani haelewi mambo ya serikali yake? Asituhadae, kusema ni wakati wa mabadiliko nk nk hii ni mbinu ya kuwachanganya wananchi mawazo na wasielewe ubovu wa ccm.
...............ataanzisha mahakama ya mafisadi-watu makofiiiiiiiiiii
1. Serikali itakuwa ya Magufuri ndivyo anavyodai. Tangu lini serikali kwa katiba yetu akapewa mtu? Kwamba anakusudia kuvunja katiba?
2. Anaonyesha dalili zote za udikteta. Yaani umimi ni mwingi, watu wa umimi mwingi uhodhi shughuli badala ya kuwa team work huwa one man show. Mawazo yake hupenda yawe ya wengine na huupenda umashuhuri na kuabudiwa. Hivyo mwisho hugeuka kuwa madikteta wa kutupa, ref. Idd Amin the great.
3. Kila mkutano anatia ahadi mpya kama tatu. Kama mikutano yake itafikia 250 hivyo atakuwa na ahadi 1,000 mbali ya zilizomo ktk ilani ya ccm.
4. Amekiacha chama kama chama. Hakitaji na sababu kinanuka. Je idhini ya kututawala atakabidhiwa ccm au Magufuri?
5. Ana jiona yeye ni msafi wakati yeye sio msafi mfano suala la nyumba za serikali, ubora wa Barabara na maamuzi ya nepotism kwake. Kupeleka taa za kuongozea magari kitongojini mjini Chato its nepotism at its best.
5. Nk, nk nk
"nitaunda mahakama maalumu kwajili ya kushughulikia mafisadi na majizi"
hii itawatia adabu watu wote waliohujumu mali za umma.
# hapa kazi tu