Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM wanapopiga kampeni zao wanajinadi sana kwamba Tanzania itakua ya viwanda nawashangaa sana...sasa cha kujiuliza ni kwamba hawa jamaa walishindwa kujenga nyumba...na zilizokuwepo wakajiuzia..na viwanda vichache vilivyokuwepo wakaviua..sasa wanawezaje kufanya kinyume chake? Kwa kweli nikikumbuki na zile ahadi za maisha bora kwa kila Mtanzania halafu nikiskia na hizi sera zao za Tanzania ya viwanda naamini kabisa hakuna kitu cha ziada wanaweza kufanya. Labda
Umbumbumbu!...m/kiti wa baraza la mawaziri nani?...wa kulaumiwa zaidi baada ya mw/kiti kama sio waziri husika ni nani?...km yeye ana maono sana na aliona sio sawa kwanini hakukataa?...yeye ni robot?linafanya tu bila kufikiri/yuko programmed?..si ajabu aling'ang'ania kutaka kuvunja makao.makuu ya Tanesco pale ubungo eti yapo kwenye hifadhi ya barabara....no pragmatism!Hilo la nyumba muulize Sumaye na hata Lowasa mwenyewe maana walikuwa kwenye baraza la mawaziri wote. Mbona mnajitoa ufahamu? Au hamjui serikali inavyofanya kazi? Njoo kivingine maana waliouza jyumba unao huko huko na huyu aliagizwa afanye na ana kiapo cha kutunza siri za barqza la mawaziri na utii kwa serilaki. Anza upyaaaaaa.
Na Nyumba zote zilizojengwa ziko chini ya kiwango, Magufuri nyumba zimezidi hadi kawauzia ndugu zake, huyu ni kama adili na nduguze.
Hapana huwa hatufundishi ujinga kama wewe tunafundishwa kutunza mali za taifa, ujinga na ufisadi ndio kazi kuu ya ccm.sasa kama ndugu zake ndio watu pekee waliojitokeza kuzihtaji hzo nyumba ulitaka wasiuziwe?na je we una ushahdi kuwa ulipeleka maombi yako na ukanyimwa kuuziwa?
Huko ukawa huwa mnafundishwa ujinga?
Umbumbumbu!...m/kiti wa baraza la mawaziri nani?...wa kulaumiwa zaidi baada ya mw/kiti kama sio waziri husika ni nani?...km yeye ana maono sana na aliona sio sawa kwanini hakukataa?...yeye ni robot?linafanya tu bila kufikiri/yuko programmed?..si ajabu aling'ang'ania kutaka kuvunja makao.makuu ya Tanesco pale ubungo eti yapo kwenye hifadhi ya barabara....no pragmatism!