Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Ona ushahidi huu:-

KWANZA,
Magufuli alianza kuhubiri sera ya "UMOJA NI USHINDI" na "HAPA NI KAZI TU" ghafla alipoona hailipi sasa amegeukia ya Lowassa (UKAWA) ya "MABADILIKOO"

PILI,
Aliwaanisha watanzania kuwa kamwe hatatumia usafiri wa anga ili aweze kupita na kukutana nao kijiji kwa kijiji. Alipoona Kamanda Lowassa anatumia anga na nchi kavu, naye ghafla amegeukia chopa.

TATU,
CCM ilinunua na kuzindua fulana maalum
(i.e vazi maalum la kampeni), Alipoona fasheni ya shati za Kamanda Lowassa, na yeye sasa kageukia huko.

NNE,
Alishauriwa kuwa kila mkutano atumie muda kadhaa kumshambulia Lowassa , Sumaye na UKAWA. Lakini kwa kuona Lowassa ni mtulivu, hapanic, ahubiri mtu ila sera, nayeye akahama kiasi kwamba wenzake ndani ya chama wanaanza kutoridhika.

All in all,
MABADILIKO YANAWEZA KUTOKA KOKOTE, LAKINI MABADILIKO YA KWELI YATATOKA NJE YA CCM.
 
CCM wanapopiga kampeni zao wanajinadi sana kwamba Tanzania itakua ya viwanda nawashangaa sana...sasa cha kujiuliza ni kwamba hawa jamaa walishindwa kujenga nyumba...na zilizokuwepo wakajiuzia..na viwanda vichache vilivyokuwepo wakaviua..sasa wanawezaje kufanya kinyume chake? Kwa kweli nikikumbuki na zile ahadi za maisha bora kwa kila Mtanzania halafu nikiskia na hizi sera zao za Tanzania ya viwanda naamini kabisa hakuna kitu cha ziada wanaweza kufanya. Labda
 
Hilo la nyumba muulize Sumaye na hata Lowasa mwenyewe maana walikuwa kwenye baraza la mawaziri wote. Mbona mnajitoa ufahamu? Au hamjui serikali inavyofanya kazi? Njoo kivingine maana waliouza jyumba unao huko huko na huyu aliagizwa afanye na ana kiapo cha kutunza siri za barqza la mawaziri na utii kwa serilaki. Anza upyaaaaaa.
 
Alimradi nawe umechangıa.Nyumba zinazojengwa na NHC,TBA na PF hauzıoni?Hadı watu wa kawaida wanajengewa na kuuziwa kwa bei chee kabisa.Mmekarirıshwa kijingajinga nyie!Dar nzima inapambwa na majumba ya serikali, mnabwabwaja ovyo kabisa.
 
Na Nyumba zote zilizojengwa ziko chini ya kiwango, Magufuri nyumba zimezidi hadi kawauzia ndugu zake, huyu ni kama adili na nduguze.
 
Boda boda tu za kuwabebea wamama wajawazito wameshindwa ndio waweze viwanda
 
Hilo la nyumba muulize Sumaye na hata Lowasa mwenyewe maana walikuwa kwenye baraza la mawaziri wote. Mbona mnajitoa ufahamu? Au hamjui serikali inavyofanya kazi? Njoo kivingine maana waliouza jyumba unao huko huko na huyu aliagizwa afanye na ana kiapo cha kutunza siri za barqza la mawaziri na utii kwa serilaki. Anza upyaaaaaa.
Umbumbumbu!...m/kiti wa baraza la mawaziri nani?...wa kulaumiwa zaidi baada ya mw/kiti kama sio waziri husika ni nani?...km yeye ana maono sana na aliona sio sawa kwanini hakukataa?...yeye ni robot?linafanya tu bila kufikiri/yuko programmed?..si ajabu aling'ang'ania kutaka kuvunja makao.makuu ya Tanesco pale ubungo eti yapo kwenye hifadhi ya barabara....no pragmatism!
 
Na Nyumba zote zilizojengwa ziko chini ya kiwango, Magufuri nyumba zimezidi hadi kawauzia ndugu zake, huyu ni kama adili na nduguze.

sasa kama ndugu zake ndio watu pekee waliojitokeza kuzihtaji hzo nyumba ulitaka wasiuziwe?na je we una ushahdi kuwa ulipeleka maombi yako na ukanyimwa kuuziwa?
Huko ukawa huwa mnafundishwa ujinga?
 
sasa kama ndugu zake ndio watu pekee waliojitokeza kuzihtaji hzo nyumba ulitaka wasiuziwe?na je we una ushahdi kuwa ulipeleka maombi yako na ukanyimwa kuuziwa?
Huko ukawa huwa mnafundishwa ujinga?
Hapana huwa hatufundishi ujinga kama wewe tunafundishwa kutunza mali za taifa, ujinga na ufisadi ndio kazi kuu ya ccm.
 
ig-post1.png
Kwa habari zaidi temebelea PoaApp-> chat and listen to music
 
Umbumbumbu!...m/kiti wa baraza la mawaziri nani?...wa kulaumiwa zaidi baada ya mw/kiti kama sio waziri husika ni nani?...km yeye ana maono sana na aliona sio sawa kwanini hakukataa?...yeye ni robot?linafanya tu bila kufikiri/yuko programmed?..si ajabu aling'ang'ania kutaka kuvunja makao.makuu ya Tanesco pale ubungo eti yapo kwenye hifadhi ya barabara....no pragmatism!

Kweli umbumbumbu haswaaaaaa. Mwenyekiti ni Rais na Prime Minister anaweza kuchair kama mwenyekiri hayupo. Unapotoka povu kusema juu ya nyumba za serikali na hasa kama kuna maswali muulize Sumaye ndo alikuwa waziri mkuu na ndiye aliyesimamia zoezi lote la uuzwaji wa nyumba za serikali wakati akiwa waziri mkuu. Kuwa mtu mzima.
 
Ccm wana mabadiliko ya kuchota pesa bot,ufisadi,mikataba feki,uwozi basss...mabdiliko orijino ni lowasa wengn wanaigiza
 
Huyu bwana ameshakubali yaishe ndiyo maana anamsaidia Lowasa kupiga kampeini ili aje amkumbuke huko mbele ya safari.
 
Kampeni manager ni wa maufunguo ni pandikizi la ukawa.

Viva Roma viva.

Swissme
 
Ccm hawana chao Mwaka huu hata bao lamkono Mwaka huu ni noma
 
pombe klabuni, makufuli mlangoni, lowassa magogoni.
 
Back
Top Bottom