Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Magufuli atueleze wapiga kura tunataka tuwajue ili magufuli ale kura zetu
 
Nimekuwa nikimsikia Magufuli mara kwa mara akisema kuwa ataunda mahakama ya kushughulikia Mafisadi na Majizi.

Escro ni Scandal iliyotokea hivi majuzi tu na kuitia Serikali hasara kubwa sana ya Mabilioni ya fedha.

Sasa katika Kampeni za Magufuli amekuwa akijipambanua kama kiboko wa mali za umma ikwepo Ufisadi.

Hakuna hata Sehemu moja ambayo Magufuli nimemsikia akizungumzia Ufisadi wa Escro au Richmond au Epa.

Je ni kwa nini hazungumzii kashfa hizo?.
Je huyu ana dhamira ya kweli kupamabana
na Mafisadi wakati anaogopa kutamka wakati huu?.
 
Rais John Pombe Magufuli katika Uongozi wake anatarajia kuwabana wale wote wanaohusika na kurudisha nyuma matokeo makubwa ya Serikali ikiwemo watendaji wabovu. Rais anatarajia kuwa na kitengo maalumu kwa ajili ya kudhibiti mianya ya rushwa na udanganyifu katika manunuzi serikalini.
 
Tunasema hapa ni kazi tu
 
Achaguliwe na nani?ninauhakika kama tutafanya makosa watanzania safari hii tutaongoza kwa kuwa na rais bogus kuliko wote barani Africa..asiyejua hata Saddam na ghadaffi walikuwa marais wa nchi zipi!
 
Huu ni upuuzi, badala ya kutushawishi tumchague, anazungumzia kuwabana watendaji, hizo pot holes kwenye barabara zingekuwapo kama angekuwa anajua kuwabana watendaji? Pathetic!!
 
Wewe unaishi wapi, sisi tulishamaliza kuchagua. Magufuli ndiye haswa rais wetu.
 
Back
Top Bottom