Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Kwan kwenye utabiri apo nesemaje mkuu?Simba hashindi.
Wewe ndio mgen kwangu ila kwa walio anza nifatilia kitambo wananielewa mkuuNaona saiv umeanza kupiga Ramli kwenye michezo 😂😂
Haya wazee wa mikeka mganga wenu wa Jf kawaletea keka la kilingeni.... Kazi kwenu
Hiyo sio tafsiri ya X2X2
(Ina maana: Yanga ashinde au mechi iishe sare)
Kwahiyo tofauti na uganga wewe pia ni mbashiri sindiyo?Wewe ndio mgen kwangu ila kwa walio anza nifatilia kitambo wananielewa mkuu
Kuna mda n wa utani pia Kuna mda mda wa kazi ivyo wananifaham vyema sana🙏🏽
Ukiwa na mana gan ?Hiyo sio tafsiri ya X2
Mkuu Kwan unateseka ukiwa wapi😂😂🤷🏽♂️Kwahiyo tofauti na uganga wewe pia ni mbashiri sindiyo?
Sasa unaonaje ukatumia unyamkela wako kuunda mikeka ya uhakika umpune muhindi kirahisi tu?
Yanga apo Inax2 maana simba ashinde au asare maana mwenyeji ni yanga
Niko type error nilikua na mana Yanga kushinda au xx2 maana simba ashinde au asare maana mwenyeji ni yanga
Hiyo sio typing error, ni kutokujua. Ingekuwa typing error, ungekiri pale mwanzo kabla haujafafanuliwaYanga apo Ina
Niko type error nilikua na mana Yanga kushinda au x
Mkuu katika unadishi Kuna mambo mengi ndo mana nimekwambia taype error ndo mana ulivyo nisanua nikalekebishaHiyo sio typing error, ni kutokujua. Ingekuwa typing error, ungekiri pale mwanzo kabla haujafafanuliwa
Umeshawachania wenzako mkeka kwa ubashiri feki.Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025
Matokeo ya Mechi (Full Time Result / 1X2)
Pendekezo bora:
X (Draw) au
X1 (Yanga au sare)
Sababu: Yanga wanahitaji sare tu kuwa mabingwa, watajilinda sana. Simba wanahitaji ushindi, lakini Yanga wana rekodi nzuri dhidi yao.
Double Chance
Pendekezo:
X1
(Ina maana: Yanga ashinde au mechi iishe sare)
Odds zake huwa nzuri na salama kuliko kubashiri team moja kushinda.
Goli Zote (Both Teams To Score – BTTS)
Pendekezo:
YES (BTTS: Both teams to score)
(Simba watalazimika kushambulia, Yanga nao ni wazuri)
Jumla ya Magoli (Over/Under)
Pendekezo:
Over 1.5 goals
(Magoli mawili au zaidi)
(Correct Score)
Kwa mteja anayependa risk na payout kubwa:
✅ 1–1 (sare maarufu sana kwenye mechi kama hizi)
✅ 1–2 simba (ikiwa Simba watafunguka zaidi).
Utabiri wa Simba vs Yanga umeenda 🔥Umeshawachania wenzako mkeka kwa ubashiri feki.
Ulibet kimapenz ukampa Simba mazima🤷🏽♂️😂😂😂Nikibet tena mniue