Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
[emoji599]HAJI MANARA YANGA WANAWEZA KUINUNUA SIMBA
Anaandika HAJI MANARA
"Hakuna Shortcut katika kufanikiwa,na lazma tubadilike, tuishi Kiuhalisia na tuache porojo,Washabiki wetu wa leo sio wajinga wajinga na wamebahatika kuishi kwenye dunia ya teknolojia na mitandao ya kijamii!!
Tusiwe na akili ya huyo Njemba ambae tunapigwa fix baada ya kunywa Petrol kama sio diesel katoka nduki kuliko Benz.
Bajeti ya msimu ujao ya Yanga Bilioni Ishirini,ni sawa na pesa ambazo Makolo wameuza Club yao ( hadi leo senti nyekundu hawajapewa) yaani Kiufupi msimu ujao Yanga wanaweza kuacha kila kitu wakainunua FC kolo na kuigeuza Club ya Pombe au kituo cha kujifunza ulevi.
Je ukitoa ushabiki, unadhani manara ana facts?