Uchambuzi wa Manara: Yanga wanaweza kuinunua Simba

Uchambuzi wa Manara: Yanga wanaweza kuinunua Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji599]HAJI MANARA YANGA WANAWEZA KUINUNUA SIMBA

Anaandika HAJI MANARA

"Hakuna Shortcut katika kufanikiwa,na lazma tubadilike, tuishi Kiuhalisia na tuache porojo,Washabiki wetu wa leo sio wajinga wajinga na wamebahatika kuishi kwenye dunia ya teknolojia na mitandao ya kijamii!!

Tusiwe na akili ya huyo Njemba ambae tunapigwa fix baada ya kunywa Petrol kama sio diesel katoka nduki kuliko Benz.

Bajeti ya msimu ujao ya Yanga Bilioni Ishirini,ni sawa na pesa ambazo Makolo wameuza Club yao ( hadi leo senti nyekundu hawajapewa) yaani Kiufupi msimu ujao Yanga wanaweza kuacha kila kitu wakainunua FC kolo na kuigeuza Club ya Pombe au kituo cha kujifunza ulevi.

Je ukitoa ushabiki, unadhani manara ana facts?

1687710493648.jpg
 
Manara anaendelea....

Yote ni nini ? Ni uongo uongo tu na kutafuta shortcuts, kupenda kusifiwa upuuzi mitandaoni na kutafuta ukubwa wa fix wasiokuwa nao.

Hope Jana Kuna fundisho kwa Watu wa football ,Uongozi sio lazma uongope na kuishi kwa ndoto za Alinacha,na itupe fundisho kubwa, kuendesha Club ya Mpira kunahitaji maarifa, sio umri mkubwa kama Unju bin Unuki.Masela wapo byeee kuliko Matarabushi

Yanga Bajeti yao ya msimu ulioisha ni kubwa zaidi ya Bajeti ya Team zote za Ligi kuu ya Kenya,na kama mjuavyo msimu ujao Bajeti yao itakuwa kubwa maradufu.

Nb:; Kiufupi Dar es salaam Young Africans inaweza kuinunua Dunduka fc na chenji ikabaki,,

Jumapili njema Wananchi,,nyie wengine ajuae Mungu
 
[emoji599]HAJI MANARA YANGA WANAWEZA KUINUNUA SIMBA

Anaandika HAJI MANARA

"Hakuna Shortcut katika kufanikiwa,na lazma tubadilike, tuishi Kiuhalisia na tuache porojo,Washabiki wetu wa leo sio wajinga wajinga na wamebahatika kuishi kwenye dunia ya teknolojia na mitandao ya kijamii!!

Tusiwe na akili ya huyo Njemba ambae tunapigwa fix baada ya kunywa Petrol kama sio diesel katoka nduki kuliko Benz.

Bajeti ya msimu ujao ya Yanga Bilioni Ishirini,ni sawa na pesa ambazo Makolo wameuza Club yao ( hadi leo senti nyekundu hawajapewa) yaani Kiufupi msimu ujao Yanga wanaweza kuacha kila kitu wakainunua FC kolo na kuigeuza Club ya Pombe au kituo cha kujifunza ulevi.

Je ukitoa ushabiki .. unadhani manara ana facts??

View attachment 2668659
Haya ni maoni ya kihuni.
 
Back
Top Bottom