Unadhan MO akitaka kuinunua Simba yoteyote (sio 49% peke yake) kwa sasa ndio atalipa hizo 20Bil?Hadhi ya budget mkuu......ni sawa na thamani ya simba
Sijajua hiyo terminology bado. Najua huwa kuna bajeti, siwezi kutoa comment kuhusu 'hadhi ya bajeti' maana sijawahi kukutana na jambo hiloHadhi ya budget mkuu......ni sawa na thamani ya simba
Yule aliewaita mambwa asingewadai kama mko smartWananchi ni smart sana
Kwa hiyo kama huielewi, unapataje kuishusha thamani ya Simba ya sh. 41B, ambayo tayari inajulikana?Hata Mimi sielewi mkuu
na bajeti ya Yanga upande wa mapato, inatoka kwa mwanachama wa Simba.Bajeti ya msimu ujao ya Yanga Bilioni Ishirini,ni sawa na pesa ambazo Makolo wameuza Club yao
Hizo ni editing Mzee.... Hata wewe naweza kukuweka hapona bajeti ya Yanga upande wa mapato, inatoka kwa mwanachama wa Simba.
Yanga inaweza kuinunua Simba, ila Simba imeishainunua Yanga [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2669487