Uchambuzi wa Manara: Yanga wanaweza kuinunua Simba

Uchambuzi wa Manara: Yanga wanaweza kuinunua Simba

Hadhi ya budget mkuu......ni sawa na thamani ya simba
Unadhan MO akitaka kuinunua Simba yoteyote (sio 49% peke yake) kwa sasa ndio atalipa hizo 20Bil?

Yaani miaka 6 nyuma kipindi Simba haijulikani hata Africa anunue nusu ya Simba kwa 20bil kisha sasa Simba ipo top 10 za CAF ndo Simba nzima ije kua valued kwa 20Bil?
 
Bajeti ya msimu ujao ya Yanga Bilioni Ishirini,ni sawa na pesa ambazo Makolo wameuza Club yao
na bajeti ya Yanga upande wa mapato, inatoka kwa mwanachama wa Simba.
Yanga inaweza kuinunua Simba, ila Simba imeishainunua Yanga 😂😂😂

1687788291715.png
 
Back
Top Bottom